Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

Habarini

Kama kawaida yangu, kuna siku nilipita mahali flani chimbo kupata huduma yetu pendwa, mdada classic, short time tsh elf 7, kufika chumbani nkamwambia alale kwa tumbo ili nikojoe haraka, akaomba nimwongezee buku, sikuwa vizuri mfukoni nkamwambia ntampa siku ingine.

Baada ya siku kadhaa kupita nimetafakari hiyo scenario nimejisikia vibaya rohoni, nimejiuliza kwanini namnunua binadamu mwenzangu, tena na-bargain kama vile nanunua nyanya sokoni, wakati yeye ni binadamu alieumbwa kwa mfano wa Mungu, yani anaomba kuongezewa tsh elf 1 aisee ya kuuza mwili wake, ambao kiuhalisia ni priceless, nimejisikia huzuni na huruma rohoni, tatizo na mimi nyege zikijaa tena narudia kununua, kama mbwa arudiavyo matapishi yake.

Hii dunia 😭

Wa kuonewa huruma hapo ni wewe...
 
Hao wanawake wauza papuchi aisee wana mapenzi ya Hatari mkielewana.
Na humpi senti tano,we usiwe na wivu tu.
Atatoka huko anakuja kukupa we unakesha nayo mpk asubuhi.
Hapo unapikiwa,nyagi utapewa,hadi hela atakupa tu.
Mara nyingi anakua na mtu wake mmoja tu hawasumbuani
 
Duuuh aiseee
 
Back
Top Bottom