Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

Sasa wewe unahangaika kumhurumia mtu ambaye yeye mwenyewe hajihurumii.
Mwenyewe karidhia kuuza mwili wake ili ajikimu kimaisha wewe unamhurumia wa Nini?
 
Hao watu wengi wana story za kusikitisha, wengi wanatoka familia ambazo wazazi eidha wote wamekufa ,kalelewa kwa hisani na manyanyaso mpaka akajikuta yuko huko,
Japo pia tamaa binafsi inapelekea hivo ila wengi wana machungu makubwa moyoni (orphans)
 
Kununua. Kuna addiction mbaya sana kama punyere tu last time kununua niliambia doggy nane elfu nilijifeel guilty sana nilifunga nikamuomba Mungu asiniruhusu niwe mlanguzi Tena sijawah kununua since then
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…