Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kama kapewa zawadi?Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
Hiyo hapo mkuuOnyesha picha aliyovaa hio saa,
Ipo hiyo picha akiwa amevaa hiyo saa, hata mimi niliiona nikaachana nayo.Onyesha picha aliyovaa hio saa,
Ipo hiyo picha akiwa amevaa hiyo saa, hata mimi niliiona nikaachana nayo.Onyesha picha aliyovaa hio saa,
Hatununuliki kirahisi hivyoHii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
Itakua zawadi Mimi Sina neno lingine, mkaja wa Bibi huo kutoka kwa Mchengwerwa kwenda kwa Atu sitaki kuingilia mambo ya familia za watuHiyo hapo mkuu View attachment 2911567
Analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?Hatununuliki kirahisi hivyo
Tumnange kwenye ishu za kimsingi, sasa huo mshahara wake anautumiaje kama tunaanza kumkagua mpaka mavao yake?
111M ishindwe kujenga maboma kumi ambayo yatatumika kama madarasa?Ukicopy kitu jaribu kushirikisha na akili yako kidogo.
Hiyo pesa ijenge madarasa 12 na samani zake? Ulishawahi kujenga hata banda la kuku?
Ila umetaka picha nimekuletea mkuu😂😂Itakua zawadi Mimi Sina neno lingine, mkaja wa Bibi huo kutoka kwa Mchengwerwa kwenda kwa Atu sitaki kuingilia mambo ya familia za watu