Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
 
Ndio nimeona Ila hayo ni mambo ya familia zaidi, ule mkufu aliotupia siku ile nao hamjatafuta bei yake bado?
Haha mkuu mimi sipo katika kuthaminisha vito anavyovaa mama. Umetaka msaada wa picha na kwasababu nimeiona sehemu nikaona nirahishe juu ya ulizo lako😄😄🙌
 
Back
Top Bottom