Nani kakuambia kazidi uzito? Ulimpima?Samia anahitaji kuvaa Fitbit ya kumsaidia kufanya mazoezi na kupunguza uzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia kazidi uzito? Ulimpima?Samia anahitaji kuvaa Fitbit ya kumsaidia kufanya mazoezi na kupunguza uzito.
Mkuu huyu Ni mtu wenu huko Mafisini... Sema Ni muhasi.Mtoa mada ni mtu mpumbavu sana na hana akili, siku zote tunam judge mtu na kile alichonacho kwa nguvu ya mshahara wake!, wangapi mitaani wanatembelea amarok, au volkwagen za milioni 150, kila kitu judge kwa kupimia na mshahara wa muhusika, sasa ujinga ni kila kitu alichonacho kiongozi unaki translate kwenye madawati, shule, inamaana ipo siku utafikia kusema kiatu chake kinatosha kujengea choo cha shule! 😁😁😁
Cdm sijui wanatumiaga akili gani.
Wamesema madarasa wewe unaongeza vya kwako, ongeza basi na sare za wanafunzi.Ukicopy kitu jaribu kushirikisha na akili yako kidogo.
Hiyo pesa ijenge madarasa 12 na samani zake? Ulishawahi kujenga hata banda la kuku?
Mkuu ukitaka tukuelewe vizuri, tuwekee saa aliyokuwa anavaa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kwanza ili tufanye ulinganifu mzuri.Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
View attachment 2911572
Asipo vaa yeye avae nani?.Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
View attachment 2911572
Mme wake anafanya kazi gani?Tafuta hela na wewe ununue sio kutwa kujadili wake za watu, je kama amenunuliwa na mme wake?
Mkuu shida ni mindset za kijamaa na kijima. Hapo ndio pakufanyia kazi.Asipo vaa yeye avae nani?.
Kwanza sio lazima awe amenunua yeye, anaweza kabisa kuwa ni amezawadiwa tuu!.
Pili hata ukinunua kuna ubaya gani?.
Kwangu tatizo sio bei bali rais wetu kuvaa saa yenye kichwa cha serpenti!, atakuwa hakujua yeye anaona tuu kaletewa expensive gift ya saa ya bvlgari serpenti watch kumbe ni amemvaa serpent bila kujijua!.
Siku moja natafuta miwani, nikapita duka fulani nikaipenda miwani fulani ya Cartier. Nilipotaka kuinunua nikaambiwa hiyo ni order ya JK, wameleta only 2 pieces custom made from factory!. Piece moja JK ndio ameichukua, hiyo piece iliyobakia ni sample ya dukani ili watu wafanye order, amini usiamini nilioder, na baada ya kunichukua vipimo, wakanipa hiyo piece, ili order yangu ikifika ndio itakaa sample!, hivyo nikavaa Cartier ya JK!. Naomba nisitaje bei humu nikaonekana na brags!. View attachment 2911766
View attachment 2911767 hiyo frame ni Cartier pure 22 carat gold, ina grams za kutosha, unauziwa na kupewa certified certificate of authenticity, kwa bank za wenzetu unaitumia kama dhamana!.
Anavaa watch ya Patek Philippe, anatumia peni ya Montblanc Meisterstuck, simu yake ni Iphone 6 Pink Diamond na anapiga suti za Saville!. Wazungu wanatudharau sana na kutuona sisi Watanzania ni masikini sana, walipomuona JK kapiga suti ya Saville wakajua kwa umasikini wetu rais wetu hawezi kununua!, wakasema lazima atakuwa ni amehongwa suti!. Ikaripotiwa JK kahongwa suti!, nilipandisha uzi huu humu JF
Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi! walituomba radhi!.
We deserve the best that money can buy!.
Tena watu wanapigia kelele ma VX, mimi nimeshauri viongozi wetu wakuu wakiwemo waheshimiwa wabunge wetu watumie armoured vehicles!. Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?
P
Kwahiyo watu wote wavae apple smart kisa wewe unazipenda?Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?
Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
tutafika kweli?!Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
View attachment 2911572
Ni kweli kwamba we deserve the best money can buy ila kwa nafasi ya Rais anapaswa kufanya mambo kulingana na hali ya wananchi wake ambao ndio mabosi wake.Asipo vaa yeye avae nani?.
Kwanza sio lazima awe amenunua yeye, anaweza kabisa kuwa ni amezawadiwa tuu!.
Pili hata ukinunua kuna ubaya gani?.
Kwangu tatizo sio bei bali rais wetu kuvaa saa yenye kichwa cha serpenti!, atakuwa hakujua yeye anaona tuu kaletewa expensive gift ya saa ya bvlgari serpenti watch kumbe ni amemvaa serpent bila kujijua!.
Siku moja natafuta miwani, nikapita duka fulani nikaipenda miwani fulani ya Cartier. Nilipotaka kuinunua nikaambiwa hiyo ni order ya JK, wameleta only 2 pieces custom made from factory!. Piece moja JK ndio ameichukua, hiyo piece iliyobakia ni sample ya dukani ili watu wafanye order, amini usiamini nilioder, na baada ya kunichukua vipimo, wakanipa hiyo piece, ili order yangu ikifika ndio itakaa sample!, hivyo nikavaa Cartier ya JK!. Naomba nisitaje bei humu nikaonekana na brags!. View attachment 2911766
View attachment 2911767 hiyo frame ni Cartier pure 22 carat gold, ina grams za kutosha, unauziwa na kupewa certified certificate of authenticity, kwa bank za wenzetu unaitumia kama dhamana!.
Anavaa watch ya Patek Philippe, anatumia peni ya Montblanc Meisterstuck, simu yake ni Iphone 6 Pink Diamond na anapiga suti za Saville!. Wazungu wanatudharau sana na kutuona sisi Watanzania ni masikini sana, walipomuona JK kapiga suti ya Saville wakajua kwa umasikini wetu rais wetu hawezi kununua!, wakasema lazima atakuwa ni amehongwa suti!. Ikaripotiwa JK kahongwa suti!, nilipandisha uzi huu humu JF
Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi! walituomba radhi!.
We deserve the best that money can buy!.
Tena watu wanapigia kelele ma VX, mimi nimeshauri viongozi wetu wakuu wakiwemo waheshimiwa wabunge wetu watumie armoured vehicles!. Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?
P
Sio sawa kwa rais wa nchi ambayo akina mama wanakosa maji salama au kujifungulia chini ya miti kuvaa saa ya mamia ya mamilioni!!!Umasikini kitu kibaya sana,unataka Rais avae saa kama unayo vaa wewe? Yani unajadili saa ya rais?
Unakuta vijitu vingine vipo kwa shemeji zao kwa hisani ya Dada zao kuolewa hapo,ila navyenyewe eti vinapiga kelele "Kodi zetu" fuatilieni saa wanazova viongozi Duniani ili mtoe ushamba na ujinga wa kua na mawazo ya kijima.