Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Rais ni zaidi ya wananchi wote na vyeo vyote katika nchi.Rais ni mtu mwingine na wa pekee katika nchi zetu.Mshahara wake na marupuru yake, hiyo saa ni kitu kidogo sana. Jitahidi urekebishe paa la kibanda chako ikibidi utoke mabondeni, masika inakuja.
 
Analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?
Sheria imeshatungwa ambayo inafanya kila kitu cha kiongozi kuwa siri hata mshahara wake, hata taarifa za mali zake mpaka afya yake...

Lakini anatumbua hela zetu wazi wazi
 
Zawadi anazopewa kiongozi wa nchi akiwa madarakani,sio Mali yake.

Kama ile kesi ya waziri mkuu wa Pakistani Bw. Imran Khan ambapo huko kuna maadili ya kufuata ukiwa kiongozi ukipewa zawadi, takrima ya fedha taslimu n.k sheria za kule inatakiwa ziingizwe ktk register ya Ofisi ya Maadili kwa ajili ya hatua zaidi.


Rolex to diamonds: What’s landed Pakistan’s Imran Khan a 14-year jail term?​

The ex-PM denies he profited from the sale of ‘state gifts’ but prosecution says their value was concealed.

View: https://m.youtube.com/watch?v=YxySl7CKICM
The gifts, worth over Rs 140 million, included seven wristwatches, six of which were Rolex, and a Master Graff limited edition watch valued at Rs 85 million. These were reportedly sold in Dubai by Khan's aides.
 
Zawadi hii ya mkufu wa dhahabu wenye nakshi ya vito ya tanzanite aliopewa na Mh. rais Samia Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Papa Francisco anaipeleka makumbusho ya Vatican kwa kufuatana na protokali za Vatican ili watu wapate ku enjoy makumbusho iliyoshiba historia

1708554868788.png


USA / MAREKANI :
Most foreign official gifts which the President and First Lady do not retain for themselves are transferred to the National Archives by the Gift Unit, and become part of a presidential library museum collection.

Most domestic gifts that the President (of US) and First Lady ( of US) do not keep are given to charitable organizations or other non-Government recipients by the Gift Unit, or transferred to the National Archives for the future presidential library museum
Source : reaganlibrary.gov
 
1708555224939.png

Zawadi hii inakwenda makumbusho. Mh. Rais Samia Hassan wakiwa na King Harald V wa Norway pamoja na malkia Sonja wakiamgalia zawadi.


USA / MAREKANI:

Protocol Gift Unit


The Gift Office within the Office of the Chief of Protocol receives all diplomatic gifts on behalf of White House and Department of State officials and maintains records pertaining to diplomatic gifts. This includes all diplomatic gifts received by the President, Vice President, and Secretary of State and their spouses. Working closely with the Chief of Protocol and the staffs of the President, the Vice President, and the Secretary of State, the Gift Office also helps select the gifts presented to foreign dignitaries.
Source : state.gov
 
Back
Top Bottom