Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Tunaomba picha Sisi wengine wakati anavaa hio saa hatukumuona
Mbona na nyie mnatia aibu?

Kila mtu anaulizia picha aliyovaa ina maana hiyo picha hapo juu hamuion?

Nyie vipofu? Mnaona kabisa picha ya saa imezungushiwa na peni nyekundu hapo kwenye mkono wake lakin bado mnaulizia picha
 
Vijana wa ovyo sana, mmeona mama yetu wala hana kashfa za kijinga wala za ufisadi wala ana tamaa. Mnaanza kuleta story za kijinga, WW hiyo saa una uhakika ndio hiyo. Je, ikiwa copy ununue Kariakoo?
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
Apple hamna maajabu mle. Saa ambayo ipo mtaa wa Congo sio ya kuvaa mtu wa maana.
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
Asset, pengine mna mpaka dimond
 
Back
Top Bottom