Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

Hahaaa.... Umewaza na kuwazua mkuu.......
Kuna kaukweli fulani hivi....
Siku ingine tafuta hata namba ya SSB mpigie mwambie unafuata njia zake ktk kufanikiwa kibiashara
 
tatizo wafanyabiashara wetu wa bongo ni wakarimu[emoji23] unaenda kuulizia kitu anataja bei unamwambia basi siku nyingine lakini yeye anazidi kukupunguzia tu bei.kuna siku jamaa alinipunguzia laki nzima kwenye fridge
Mimi: hii fridge bei gani ?
muuzaji: hii laki nne na nusu boss wangu
Mimi: oh basi nitarudi (huku naanza kuondoka)
muuzaji:boss nipe nne kamili (huku ananishika mkono)
mimi:hapana,parefu sana
Muuzaji:basi nipe tatu na nusu
 
mi nikiwaambia watu Wananipinga[emoji23] exposure sio lazima nje ya nchi kuna vitu ukivifanya unaonekana mkubwa sana mi naulizia bei ya Nyumba masaki,Bei za Maserati yani mambo expensive lakini mfukoni sina mbuni
naeza enda yard ina mandinga ya kila dizaini nayatathimi hapa nataka lipi nikitoka hapo naenda kunywa Cappucino level 8 hyatt au Mojito Hamilton's Gastropub Johari Rotana nikitoka hapo narudi kwetu Mbagala kichemchem nalala na Ma exposure ya kutosha
 
Unakuta Mtu Anatamani Kwenda Serena Hotel Kunywa Hata Kahawa aau ka juice lkn Anaogopa Kisa Jengo Na Hadhi Ya Eneo

Wakati Ukivaa Uhalisia Na Ukaingia Unaweza Kuta Tea Haizidi Hata 5 muda mwingine Unaweza Kwenda Uka Nunua Gazeti lako Ukaagiza Kahawa Pale

Ukaketi Ukiperuzi Huku Ukijiburudisha Huwezi Juwa utaziona Fursa Ngapi Hapo

Zaidi Pia Unaweza Hata Tengeneza Marafiki Wenye Channel maisha Yanahitaji furaha Na Kujiamini

Sio kujiweka nyuma Nyuma Kama fuko lauzazi blessing Sunday
 
Lkn bado hununui hahaha
 
kudadadeki umetulenga wanaume tu tena kibabe fresh, okey kina mwajuma wao wafanyaje??
 



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€eti nalala na maexposure ya kutosha.

Ila wazo la mleta mada liko vizuri.
 
Aise we jamaa uko namiakili mingi ngoja na nianze na pale posta Kuna Benz matata nimeiona ngoja nikaulizie Bei maana sikwa umasikin huu
 
umenena mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna siku nlienda UBP kuulizia frem wanapangisha bei gani... nlikutana na mhindi dogo janja tu pale mapokezi, akaniambia ngoja niongee na boss kubwa. mara akaniita "njoo huku mkuu uongee na boss kubwa." kufika yule boss wake ni mhindi ana nyusi kazichonga hatari, udevu km wote akaniangaliaaa... akanitazamaaa... akaniambia "karibu kijana" ila bado ananithaminisha tu! nkamchana "frem ngapi bei?" akawa km amekunja ndita hv yaan bado haamini! ikabidi anijibu... "hapa frem zinapangishwa kwa wenye makampuni na frem kwa mwezi ni mil3 na unalipa kwa miaka3."
kilichofwata baada ya hapo ni kuagana naye nkasepa.

kupata exposure ni kitu kizuri sana, unaondoa ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…