Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

We Bibi mi staki matani nawe niache..😂🏃🏃

Heee.... kumbe unatania, mi nilijua uko sirias tukukabidhi seva.

Haya endelea na matani yako, acha nirudi kugudumika.
 
Ulichokisema ni kweli nakumbuka mwaka 2007 nilipata shavu... La kwenda serena hotel , kila mwaka huwa wana sherehe zao pale katika hotel za serengeti nilibahatika kuhudhuria sitahau mpk sasa ... Nilikutana na mzungu anaitwa olivier goetzl. .... ndiye mmiliki wa myspace . Com lkn pia ana miiliki kampuni ya gulo film production ndio kampuni inayoongoza kwa kupata tuzo mbalimbali duniani kutokana na video za wanyama pori ,uki mgoogle utaona kaxi nyingi alizofanya lakini pia ana miliki studio kubwa sana pale ujeruman marsh marigold record ... Inajihisha na kurekodi nyimbo za sali , ukweli alipa shavu kubwa sana .. nikapata scholar ship kubwa sana ya kwenda kusoma ujeruman mechanics engeer nikala miaka mitatu pale PASSAU UNIVERSTY , ada yote alinilipia yeye na likizo nilifanya kazi za kumsaidia pale simrock mtaa namba 111 hurbug ...nilijifunza kitu mpk sasa kuna group fb huwa namwaga madini sana ya magari , nilichojifunza ukitaka kuyashinda maisha jaribu kwanza kubadili fikra kabla ya kuanza kujiangalia kile ulichonacho .... Mpk sasa nipo bongo ila nimetoa connection nyingi za watu kuajiriwa ujerumani hasa vijana mm ni muajiriwa SERIKALINI ...... TUSAIDIANE TUINUANE KAMA VIJANA
 
Big up mkuu, lazima ungefanikiwa maana tayari mind set yako ipo kama ya huyo mzungu, si unaona sasa, umerudi bongo nawe umeanza kutoa connection(hizo ndio mindset sasa za watu wa kufanikiwa), hawaoni noma kuwanyanyua wenzao
 
Big up mkuu, lazima ungefanikiwa maana tayari mind set yako ipo kama ya huyo mzungu, si unaona sasa, umerudi bongo nawe umeanza kutoa connection(hizo ndio mindset sasa za watu wa kufanikiwa), hawaoni noma kuwanyanyua wenzao
Ndoto yangu kubwa na furaha yangu ni kuona vijana wanafanikiwa lkn pia wanamilki chuma za maana hapa town
Ndio maana kule fb na hubiri sana kuhusu ndinga kali kali japo na za mjapani nagusa kwenye group x
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah
 
Wakazi wa DSM wanaotembelea mlimani city, walio wengi huingia kwenye maduka mbali mbali wakiulizia vituu vingiiiii, ukimwona utadhani kweli atanunuaaaa....badae unamkuta ananunua chupa ya maji ya kunywaaa na kutoka nayo getini 😂 😂
 
Ma exposure yakutosha🤣🤣🤣🤣
 
Nimemuelewa sana mtoa mada na kaeleza kitu sahihi sana.
Binafsi hii tabia nilikuwa nayo na ninayo mpaka leo na imenisaidia mambo mengi.
kwanza kupata maarifa ya mambo mengi na kutengeneza connection za watu wa maana.
Na pia inakukutanisha na watu ambao isingekuwa rahisi kukutana katika mazingira yanayokuzunguka.
Hata kwenye kuishi chagua sehem wanazoishi madon kisha jichanganye nao hakika hutojutia maana ndio mwanzo wa kupata maarifa.
 
Umenifurahisha sana hapo mbagala kichem chem.


Kuna siku nilitoka na mshikaji wangu nait kali....tukaenda night club moja ya kishua. Tukanywa Virgin Mohito glass 2 kila mmoja...nikalipa elfu 40 tukasepa.

Sasa demu wake akawa amekuja getto kwake (ana funguo) demu akawa mkali usiku ule anatoka wapi?

Akanipigia simu nikaenda. Nikasolve msala na katika kutia mbwembwe nikamwambia shem sisi hatujafanya jambo baya tumekunywa tu VIRGIN MOHITO tukarudi. Utata ukaanza hicho ndio kinywaji gani? Mnanidanganya...waongo nyie....hehehe nikacheka.

Nikamwambia siku moja mwambie bro akupeleke kisha agiza hiyo kitu na ulipe. Pale pale nikagundua demu hana exposure.

Kuna kisa kingine....kuna demu nilikua namfukuzia anasoma chuo by then. Nikampeleka hotel moja hivi tukapata late lunch. Tumemaliza kula nikachukua toothpick nikawa nasafisha meno. Akaniomba na mimi naomba toothpick, nikamuonesha kwa ishara hizo hapo maana zilikua upande ule aliokaa yeye. Kumbe hajazijua, akakaa tena akanikumbusha toothpick....ikabidi nimchukulie nifungue nimpe. Toothpick za hotel zinakuwa covered kama straws za juice vile. Yeye hajazoea hizo mambo.

Kwa namna alivyokuwa sikutarajia kuwa hajui kama zile ni toothpick....nikagundua hana exposure.
 
Lady, exposure hazilipi bills.
 
Ndoto yangu kubwa na furaha yangu ni kuona vijana wanafanikiwa lkn pia wanamilki chuma za maana hapa town
Ndio maana kule fb na hubiri sana kuhusu ndinga kali kali japo na za mjapani nagusa kwenye group x
Mipira mikali taja mipira mitano mikari kwa kijana mwenye 27
 
Nimegundua hana exposure 🤣🤣🤣
 
[emoji16] umesema kweli kabisa, haya mambo ya kujiweka nyuma kama mkia sio kabisa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…