Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

Zilikua zangu hizo ila sijaacha nimepunguza tu.Sina hata hela nimezurura mjini vya kutosha nikiona kitu kizuri na ninajua kwamba bei yake imechangamka ,basi naulizia ilhali najua sina hata hela.. Hapo bei itapunguzwa hadi najuta kwa nini niliuliza na hela sina.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Kuushitua umasikini ujiandae kupigwa chini na wajumbe🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaona bwana Mwenzio wanajuaga kwetu mambo safi mtoto wa kishua au nna sponsor [emoji2][emoji2]
kumbe nikiwa bored natazama ramani naangalia Wapi nataka kutembelea na nikagundue nini?
-Kama ni restaurant naingia website yao nachukua PDF ya Menu naisoma najua kabisa wanauza Tsh ngapi na ntaenda kula nini ntatumia usafiri gani kufika.
-Sasa kuna Rafiki yangu mmoja tukiwa off ananiambia naomba tukatembee mahala,tunaeza kwenda mahala wote ndio siku ya kwanza tunafika ila mimi nakua kama mwenyeji kwanzia mazingira nayajua kabla sijafika sina haja hata ya kuangalia menu zao naagiza tu lete Ken forrester na yy ananiambia nichagulie. Akimaliza anamuita muhudumu Tsh ngapi nambadilishia kauli Mwambie alete bill binti Basi ananionaga mtu fulani kumbe basi tu experience za maisha[emoji23][emoji23][emoji23] Tunalipa wote ila yeye anaonekana Chawa
 
Saf kabsa inapendeza hyoo mie nlimaliza chuo sina kaz sina hata mia lkn nlkuwa naenda kuulizia magar kila siku na tunakubariana had bei mara niende kwa madalali naulizia nyumba [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3590]
 

hahaha[emoji23] lazima ujute na unamuonea huruma muuzaji maskini,unajua wale jamaa wa Electronics anaweza maliza siku mbili hajauza kitu ndio maana wanatuchangamkiaga mno kwenye bei
 
hahahahaha salut mkuuu,umenena
 
Ni kweli mkuu
tena siku moja moja unaenda pale lugalo unamkamata mjeda mmoja unamnyang'anya bunduki yake then una ji karanga fotooo......
Sio kila siku bunduki washike wao tu, ng'ombe we!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wakati nasoma shule nilienda kwenye maonyesho ya sabasaba nikaingia banda la scania nikakuta horse mpya iko display nikauliza bei yake majibu niliyopata sina hamu hadi leo,
 
Ndo maana mimi sipendi kabisa kuitwa mnyonge tena anayeniita hivyo anatembelea li V8 lenye kiyoyozi.Ukipenda kuishi kinyonge kamwe huwezi kua na mawazo yakujikwamua kifikra hadi kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…