Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Mnaongelea kiwanja kipi hapa, lilipo jengo la GSM? Au kuna kiwanja kingine sisi hatukifaham?
 
Aseeehhh... Kuna wanadamu km mbwa
 
Nimeshaleta Uzi wangu humu juu ya kampuni hi na biashara ya kuhujumu uchumi ila niliishia kuambiwa kuwa Nina wivu mkubwa unanitesa duh watz Ni wakuda wacha tupigwe tu


Pia ishu ya form four failure usiweke hapa

Kama mtu alipata favor haijalishi kafeli form four ni akili yake inafanya Kaz na kutumia fursa vzr

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 



Niliwashaleta Uzi kuhusu hi kampuni ya silent ocean jins inavyo takatisha pesa ila niliishia kutukanwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Unaweza kuta hata huyo waziri mkuu anapokea bahasha kutoka kwa hawa jamaa.

Chezea pesa wewe!
 
Huyu Eliud ni mzembe sana
yani ni kama uajiri ndugu yako akutie hasara umuweke ndani, ndugu waanze kusema una roho mbaya

We mfanyakazi anakuibia mpk anaagiza vogue we bado hujui kama sio kutafutia watu lawama

Then baada ya kuanza kudaiwa kwnn usingesimamia mwenyewe mchakato wa mali zako kuuzwa kisha kinachopatikana ukaenda kumlipa Salaah kiasi anachokudai.

We bwana umejichanganya ukaleta ushkaji na boss tena ingekuwa Tajiri mwingine pengine saivi ungekuwa ushapotezwa
 

Kazaminiwa hela ya biashara. Azungushe ili akuze mtaji. Kaenda nunua nyumba na vogue

Gsm walimpa hela wakijua akifanya vizuri kwenye biashara ataendelea kuwa mteja wao. Maana wao gsm wanahudumia wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…