FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ushaambiwa seriakali yote imepakatwa na Salaah, hafanywi kitu, nini huelewiUzuri MamaSamia yupo humu, hii akisoma sidhani kama atacheka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaambiwa seriakali yote imepakatwa na Salaah, hafanywi kitu, nini huelewiUzuri MamaSamia yupo humu, hii akisoma sidhani kama atacheka...
Mnaongelea kiwanja kipi hapa, lilipo jengo la GSM? Au kuna kiwanja kingine sisi hatukifaham?kama tu waliuziwa kiwanja kile na Chama hiki kikubwa hivi basi wana kiburi cha kuona hakuna wa kuwafanya chochote.Nimesikitika sana kwa matamko mkuu wa kituo cha Msimbazi alichowaambia na kusema kapigiwa simu kutoka juu na YEYE ANA FAMILIA ANA CHUNGA KIBARUA CHAKE.Vijana tuwe waaminifu,kula sawa ila unakula mpaka unamtia hasara boss wako hivyo?Kuna Mchungaji alisema vijana wa Ki.........hawaaminiki ila akapewa suspension siku 60 mifano ni kama huyu aliyeagiza Vogue.Salah alipaswa kuzungumza ili kuwekeana mikakati na huyu mdau wake ili kulipa hiyo hasara.Naamini angelipa tu kwa jinsi alivyokuwa na mtandao mkubwa na jinsi alivyomuingizia salah faida kwa wateja.Biashara inapokuwa kubwa tukubali kuajiri watu wenye weledi katika sekta husika.Dangote kaajiri Wahindi,Mchaga mmoja ana hardware kubwa Dodoma muhasibu muhindi.Hawa ni watu wa fedha na ulishauriwa.Kuhusu haya ya UCHUMI kuchezewa tuziachie mamlaka.Mama yupo jf atasoma tu.
Aseeehhh... Kuna wanadamu km mbwaUaminifu ni kitu ambacho sisi tumekuwa tukifeli
Mtaani kuna dogo anakibanda cha makuti anauza utumbo wa ng'ombe kipo eneo moja na parking ya bodaboda
Huyo dogo nimemshuhudia mara kibao akiwasaidia hao madereva bodaboda kuwapa utumbo for free na kuwachangia unga wawe wanapika kijiweni.
Lakini juzi dogo kaacha simu kwenye kibanda akaongozana na mteja kwenda kuomba chenji dukani.
Anarudi anashangaa simu haipo, kila bodaboda aliyekuwa pale akiulizwa anakataa anasema sio mimi.
Kumbe wao ndio wamechukua simu halafu wakawa wanataka dogo awape 15K ndio wamrudishie.
Dogo ikabidi atoe hiyo 15K kwasababu ndio simu anayotegemea kufanya request ya mzigo kwenye biashara yake.
Mtaji wa biashara hata 40K haufiki, fikiria faida ni kiasi gani halafu muda huo 15K imetolewa nje ya hesabu ku-rescue simu.
Baada ya siku mbili kupita Brother mmoja ndio alijitokeza kuwakemea wale bodaboda na kunyang'anya simu ya mmoja wao na kusema hairudishi mpaka wamrudishie dogo 15K yake.
Ndio hapo wakairudisha 15K
Ndio hivyo MkuuAseeehhh... Kuna wanadamu km mbwa
Hii sasa ni dharau ya hali ya juu kwa Mama, achukue actiom kwenye hii tuhuma kubwa.Ushaambiwa seriakali yote imepakatwa na Salaah, hafanywi kitu, nini huelewi
Hamkosekani, sijui ukojeeMpaka hapo habari hii ni ya uongo, Unajua Maana ya KUTAIFISHA?
Waziri Mkuu huyu huyu aliesadikika kuingiza shehena ya vitenge bila kulipq kodi??
Hii nchi ukombozi wake ni Mungu mwenye akitaka kwa kuwatia nguvu wanyonge wadai haki yao. Kinyume na hapo tutawaona kina GSM wengi tu maana washajua udhaifu wa viongozi wetu ni matumbo yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaahdogo kaona hela nyingi kwenye droo kahisi zote zake akaona aagize Vougue ya kulia bata,tamaa.
Mbona una Kimbele mbele cha kuita habari ni ya uwongo!!?Mpaka hapo habari hii ni ya uongo, Unajua Maana ya KUTAIFISHA?
Huyo Eliud ni mpumbavu tu umepata bahati ya kuaminiwa na Boss, unaenda kufanya uzembe kama huo kwa kumuamini mjinga mwengne ningekuwa mimi nyote ningewapiga bunduki Shenzi nyote DOLA 230,000/= JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala U
Ushaambiwa seriakali yote imepakatwa na Salaah, hafanywi kitu, nini huelewi