Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Silent Ocean ilikuwa inafanya kazi kama kawaida wakati wa Magufuli. Kwa kweli kampuni hii ilianza kazi wakati wake. Ni baada ya kufungwa kijanja kwa Home Shopping Centre siku za mwisho za utawala wa Kikwete.JPM aliyabana haya majizi
Alienunua nyumba na vogue sio yeye, ni kijana wake dukani baada ya kumuibia.Kazaminiwa hela ya biashara. Azungushe ili akuze mtaji. Kaenda nunua nyumba na vogue
Gsm walimpa hela wakijua akifanya vizuri kwenye biashara ataendelea kuwa mteja wao. Maana wao gsm wanahudumia wafanyabiashara
Alienunua nyumba na vogue sio yeye, ni kijana wake dukani baada ya kumuibia.
Sasa Saalah anawezaje kutaifisha mali Mkuu? Unafikiri kama ni mahakamani hili shauri lingetoboa?Mbona una Kimbele mbele cha kuita habari ni ya uwongo!!?
Utakuwa ni chawa wa Salah
Hadithi hii inatufundisha nini?.. [emoji16]
Wewe ni mjinga wa kuzaliwa.Sasa Saalah anawezaje kutaifisha mali Mkuu? Unafikiri kama ni mahakamani hili shauri lingetoboa?
wajinga ni wengi hapa nchini.Mpaka hapo habari hii ni ya uongo, Unajua Maana ya KUTAIFISHA?
Sasa Salaah anaweza kutaifisha mali? au na wewe hujui maana ya kutaifisha, ?Hamkosekani, sijui ukojee
Unajua maana ya Kutaifisha?Wewe ni mjinga wa kuzaliwa.
Kweli wajinga ni wengi, mtu anawezaje Kutaifisha mali?wajinga ni wengi hapa nchini.
Aione Mama Samia hii,ndio maana vijana wanatekwa hawapatikani kumbe kuna watu wanalindwaSaalah anasema IGP Wambura ni mshikaji wake wa Pete na kidole.
Najua ndio maana nikasema tuna usalama wa taifa na Polisi wanaojielewa kweli?Hao niliowataja si wapo kwenye payroll ya Serikali,sasa kama wanaingizwa kwenye Payroll za Wahuni hilo ni tatizo lao.Unajua Payroll?
Hujaelewa rudia kusomaIla kwa nilivyoelewa salaah ndio alimfungulia jamaa biashara na kumpa mzigo so in reality alivyotaifisha ni vya kwake mwenyewe.