Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Ila hapo kwenye black market. Pamenyooka mno.

TRA wanaweza fanya back tracing ya baadhi tu ya wafanyabiashara kuona uhalisia wake. Hapa kuna kodi kubwa sana inakwepwa.

BOT pia wakiwa wasimamizi wa fedha, hii ni rahisi sana kuithibisha.
Nchi inaupungufu wa dola, huko benki tunauziwa mwisho USD 3,000 hadi 5,000 kwa siku.

Kumbe kuna uhuni mkubwa unafanyika. Benki zinapambana na walalahoi kutafuta ukwasi, kumbe kuna mtu anabenki getoni kwake.
 
Back
Top Bottom