dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hata mm kak angu kataitiwa na kazilipa vzr tu Tena had kuuza mashamba ya uridhi alfu mtu anasema ujinga gani wa eliud na Pius walipaswa wasitoke Hadi pesa zote zipatikaneBosi wangu mmoja alikua hadi ma lokapu yake,, ukila hela yake, anakueka lokapu humo, mpaka ndugu zako watauza Ng'ombe, au nyumba kufidia deni ndo unatoka,, na kwasababu wanakua kweli wamekula pesa, walikua wanakua wapole na wanalipa[emoji23]
Ushenzi wake nini?Anavaa kanzu saafi nyeupe kumbe ni mshenzi wa kiwango hiki dah
achana na mimi kusoma,icho kisa nakijua vizuri,tena kuna mambo umeyaacha kuyaeleza ungezidi kuonyesha ujinga mkubwa wa huyo dogo.
uyo dogo ashukuru Salah kataifisha vitu vyake kamuacha aishi uraiani,ashukuru sana kwa hilo.
tajiri mwingine angemfunga au angemfanya vinginevyo.umeiba alafu unataka sheria za eti urudishiwe kilicho zidi!.icho kilichozidi kimetokana na fursa alizopewa uyo dogo na Salah.
atulie ajipange upya maisha yaende,si ameagiza Vougue auze iyo gari ajipange upya asonge mbele.
Ila kiukweli hata Mimi sijaona makosa ya Salaah had kuuanzisha huu Uzi.Wewe hujaelewa!!mana aliye Agiza Hilo Range ni yule kijana mwizi
Heee! Kwani huyu ndio mtu mbaya Saalah?
Kataahira flani hivi it seems, no wonder ni form 4 failure, just imagine..., na Msoga kapiga nae picha kabisa...Heee! Kwani huyu ndio mtu mbaya Saalah?
Ushaambiwa pesa iliyozidi katika ile aliyotaifisha Salaah ni 235mil, hivyo mtoto mzuri Salha anapaswa kurefumd hiyo amount, otherwise ajiandae kulawitiwa au kumwagiwa tindikali, tunamalizana kimtaa mtaaMbona sijaona kosa la salah?? Mbona hujaeleza ni kiasi gani unadaiwa na salah,au hasara kiasi gani umemsababishia?? Maana unakiri unadaiwa,katika kudai kila mtu ana njia yake ili arejeshewe chake,ulitaka acheke na wewe afilisike?? Hata mm ninaowadai nawaambia mm ni mtu mbaya sanaaaa,nitakufanya kitu mbaya muda wowote ila inreality sina chochote nawwza kufanya,mkwara tu,we huoni huo mkwara wa salah umesaidia kupata hela yake??shida yenu waswahili mkiaminiwa hamuomeshi imani,kama mtu amewwza kukufungulia duka kubwa la nguo la dola laki 2 leo hii akidai chake unamuona bwege,lipa mzee hakuna cha bure mjini!!
Hapo ni kama walikuwa safarini halafu ikatokea break down or something of the like, kwa hiyo akatoa vibastola kuonyesha kwamba wako full mass nondo! Kenge hakatizi!Kataahira flani hivi it seems, no wonder ni form 4 failure, just imagine..., na Msoga kapiga nae picha kabisa...
Kahuni flani tu hivi, arudishe chenji hiyo.., haki kwa haki.., period!Hapo ni kama walikuwa safarini halafu ikatokea break down or something of the like, kwa hiyo akatoa vibastola kuonyesha kwamba wako full mass nondo! Kenge hakatizi!
Yeah, kama kweli kuna hiyo Chenji amrudishie Mkinga bhana..Kahuni flani tu hivi, arudishe chenji hiyo.., haki kwa haki.., period!
ππππ€£π€£πππ, #chenjiirudiYeah, kama kweli kuna hiyo Chenji amrudishie Mkinga bhana..
We Mohamed Salah rudisha hela bhana, acha kujidai unabana watu mapumbu..ππππ€£π€£πππ, #chenjiirudi
Hahahah, nasemaje, nasemaje, #Chenjiirudi πππ€£π€£We Mohamed Salah rudisha hela bhana, acha kujidai unabana watu mapumbu..
Wakimbilie kwa Jakaya tu, mbona kesi inatulizwa freshi ila wakimvimbia ni ngumu kutoboa. Jamaa anaweza akawala vichwa kabisa na ikabaki story tu.
Musiba mbona alishaongeaga kipindi cha magu na hawakufanywa kitu sembuse sahivi
Hapa no way out! #chenjiirudiEnzi za Magu walikimbia kuishi South Africa