Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Bosi wangu mmoja alikua hadi ma lokapu yake,, ukila hela yake, anakueka lokapu humo, mpaka ndugu zako watauza Ng'ombe, au nyumba kufidia deni ndo unatoka,, na kwasababu wanakua kweli wamekula pesa, walikua wanakua wapole na wanalipa[emoji23]
Hata mm kak angu kataitiwa na kazilipa vzr tu Tena had kuuza mashamba ya uridhi alfu mtu anasema ujinga gani wa eliud na Pius walipaswa wasitoke Hadi pesa zote zipatikane

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Anavaa kanzu saafi nyeupe kumbe ni mshenzi wa kiwango hiki dah
Ushenzi wake nini?

Kujiongeza sio ushenzi Bali ni kutumia fursa nchi ya vipofu.

Mpaka hapa sijaona ubaya wa Salaah , nchi hii ina vijana wa hovyo Sana ukikaa vibaya wanakufilisi.

Mengine yote ni ujanja wa Salaah na uzembe wa Mamlaka. Hata Silent ocean wakitumia njia za Halali ili serikali ipate mapato je unajua hayo mapato pia yatanatumiwa vibaya na serikali kununua ma vieitii , kulipana maposho makubwa kwenye vikao vya hovyo hovyo.
 
achana na mimi kusoma,icho kisa nakijua vizuri,tena kuna mambo umeyaacha kuyaeleza ungezidi kuonyesha ujinga mkubwa wa huyo dogo.

uyo dogo ashukuru Salah kataifisha vitu vyake kamuacha aishi uraiani,ashukuru sana kwa hilo.
tajiri mwingine angemfunga au angemfanya vinginevyo.umeiba alafu unataka sheria za eti urudishiwe kilicho zidi!.icho kilichozidi kimetokana na fursa alizopewa uyo dogo na Salah.
atulie ajipange upya maisha yaende,si ameagiza Vougue auze iyo gari ajipange upya asonge mbele.

Wewe hujaelewa!!mana aliye Agiza Hilo Range ni yule kijana mwizi
 
Mbona sijaona kosa la salah?? Mbona hujaeleza ni kiasi gani unadaiwa na salah,au hasara kiasi gani umemsababishia?? Maana unakiri unadaiwa,katika kudai kila mtu ana njia yake ili arejeshewe chake,ulitaka acheke na wewe afilisike?? Hata mm ninaowadai nawaambia mm ni mtu mbaya sanaaaa,nitakufanya kitu mbaya muda wowote ila inreality sina chochote nawwza kufanya,mkwara tu,we huoni huo mkwara wa salah umesaidia kupata hela yake??shida yenu waswahili mkiaminiwa hamuomeshi imani,kama mtu amewwza kukufungulia duka kubwa la nguo la dola laki 2 leo hii akidai chake unamuona bwege,lipa mzee hakuna cha bure mjini!!
 
Ushaambiwa pesa iliyozidi katika ile aliyotaifisha Salaah ni 235mil, hivyo mtoto mzuri Salha anapaswa kurefumd hiyo amount, otherwise ajiandae kulawitiwa au kumwagiwa tindikali, tunamalizana kimtaa mtaa
 
Kataahira flani hivi it seems, no wonder ni form 4 failure, just imagine..., na Msoga kapiga nae picha kabisa...
Hapo ni kama walikuwa safarini halafu ikatokea break down or something of the like, kwa hiyo akatoa vibastola kuonyesha kwamba wako full mass nondo! Kenge hakatizi!
 
Back
Top Bottom