dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hata mm kak angu kataitiwa na kazilipa vzr tu Tena had kuuza mashamba ya uridhi alfu mtu anasema ujinga gani wa eliud na Pius walipaswa wasitoke Hadi pesa zote zipatikaneBosi wangu mmoja alikua hadi ma lokapu yake,, ukila hela yake, anakueka lokapu humo, mpaka ndugu zako watauza Ng'ombe, au nyumba kufidia deni ndo unatoka,, na kwasababu wanakua kweli wamekula pesa, walikua wanakua wapole na wanalipa[emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app