Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Pius hana mali inayotambulika kidheria. Eliud hana documents za kumkabidhi mali Pius na hana record ya mali alizomkabidhi, zilizouzwa wala zilizobaki.
Eliud hakufuata ushauri wa Salaah wa kuweka mtaalamu wa mahesabu kati yao. Hii imepelekea Eliud kutojua kiasi halisi anachodaiwa.
Kikubwa na cha msingi #chenjiirudiImbombo ngafu hapo weka mguu nami natia kigingi ngoja tuone mwisho wake nani atakuwa mshindi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hizo ni ngano za mtaa tu udhibitisho hakunaHujasikia akaunti za China?
Kwani hii mada si chenga tu.Hi
Hizo ni ngano za mtaa tu udhibitisho hakuna
Tuliza kine... Be basi chawa mzeeKwani hii. Mada si chenga tu.
Nagano toke kinywani mwa Rais?
Labda aliyetangulia ndiye alikuwa na porojo za kijinga.
Sawa mliberali, huwa hamjifichi, kwa kauli zenu tu mnajulikana.Tuliza kine... Be basi chawa mzee
Pesa imepoteza utuPesa ni jibu la mambo yote lakini kuna mahali pesa inageuzwa mungu na hapo ndio ugomvi na Mungu mwenye wivu unapotokea
Kuna mbuzi wako humu wanawashabikia kweli. Mara oh masikini wana shida utafikiri wao ni matajiri kumbe wana shida hadi makalioni.Kwakwel hawa matajiri hasa wenye asili ya kiarabu huwa ni watesi sana wa wabongo, na watu wetu wa serikali wanawashonokea sana kisa wanapewa rushwa..
Magu tu ndo alowamidu hawa, tutazidi kunyanyasika sababu ya ulimbukeni na njaa za viongoz wetu
Jamaa kila siku wanabuni hekaya mpya kumchafua jpm lakini raia wala hawana habari.Hi
Hizo ni ngano za mtaa tu udhibitisho hakuna
Bila shaka mkuuNitaomba uwe una update kama kuna reaction yoyote ya huu uzi na ule 72 hrs warning!
Ni kweli itakuwa mauaji na visas. Japo kwa sasa serikali ni kama imewekwa na hawa mafedhuri endelea kupambana kwa njia za Hali.Nitaifata taratibu na sheria kudai haki yangu,kama kila mtu akidai ajichukulie sheria jinai au kutaifisha basi nchi haitokalika hii
Ni sahihi. Lakini sasa vyombo vyetu vya kutoa Haki viko mfukoni mwa watu.Kwa kifupi nchi zenye kufata sheria na haki za binaadamu huyo alibanwa sehemu zake za Siri na kuteswa madai yake yangefuta madeni yote na utajiri juu.
Wale wanadhurumu hadi dola 100. Utajiri wao umejaa udhurumati na jasho na damu za watu. Kiufupi kwa hii serikali ya ulegevu sio rahisi kumrejeshea chenji yake.Kikubwa na cha msingi #chenjiirudi
Hahahah huwa zinaishiaga humu humu, huwezi kuta mtu kitaa anaongea shit kuhusu mwambaJamaa kila siku wanabuni hekaya mpya kumchafua jpm lakini raia wala hawana habari.
Kwa mtazamo wangu, hakuna aliyemuibia, huyo Pius ni scapegoat tu. Mastermind ni Eliud, baada ya kutakiwa alipe akamtaka partner wake (in crime) amsaidie.πππ
Badala afanye juu Chini huyu aliyemuibia arudishe kiasi alichokiiba, anadili na MTU aliyechukua kilichochake.
Wakati Pius amekiri ameiba, ni Kwa nini Eliud hakuomba tag kuzifilisi Mali za Pius, ili Pesa iliyopotea ifidiwe na hasara zake
Kwa mtazamonwsngu, hakuna aliyemuibia, huyo Pius ni scapegoat tu. Mastermibd ni Eliud, baada ya kutakiwa alipe akamtaka partner wake (in crime) amsaidie.
Hiyo kyminywa ninu sijui, huzo ni chumvi tu za mketa mada, Pius labda alitisha tu, akaona isiwe tabu, mali si ipo, ajibu tu nfio nilimuibia Eliud.
Mimi ningekuwa Salah, na Pius mpaka arudidhe mali anazosema zake. Utakuta huyo ni "kanyaboya" tu, mali zite ni za Eliud.
Huu uzi ni kutafuta kulipa kisasi tu cha kutemeshwa mzigo na kukatiwa line.
Usukute ba Wakinga nao wanamdai Eliud, sasa auze mali alizompa Pius amfichue, aziuze, awalipe Wakinga wenzake.
Na Salaah kwa hesabu zake, kama mali alizomtemesha Eliud. hazijatosha, ajuwe atatemeshwa maisha, mpaka atatafuta pa Eliud atatafuta pa kufanyia biashara zingine.
Kwa hao vijana, nahisi Eliud Hatoweza kufanya Biashara Dar wala China, atakabwa mpaka "penati" kiushundani tu.
Ushahidi hana, hata pf3 sidhani kama anayoKwa kifupi nchi zenye kufata sheria na haki za binaadamu huyo alibanwa sehemu zake za Siri na kuteswa madai yake yangefuta madeni yote na utajiri juu.