Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Pius hana mali inayotambulika kidheria. Eliud hana documents za kumkabidhi mali Pius na hana record ya mali alizomkabidhi, zilizouzwa wala zilizobaki.
Eliud hakufuata ushauri wa Salaah wa kuweka mtaalamu wa mahesabu kati yao. Hii imepelekea Eliud kutojua kiasi halisi anachodaiwa.


🤣🤣🤣🤣
Kwisha habari
 
Kwakwel hawa matajiri hasa wenye asili ya kiarabu huwa ni watesi sana wa wabongo, na watu wetu wa serikali wanawashonokea sana kisa wanapewa rushwa..

Magu tu ndo alowamidu hawa, tutazidi kunyanyasika sababu ya ulimbukeni na njaa za viongoz wetu
Kuna mbuzi wako humu wanawashabikia kweli. Mara oh masikini wana shida utafikiri wao ni matajiri kumbe wana shida hadi makalioni.
 
Nitaifata taratibu na sheria kudai haki yangu,kama kila mtu akidai ajichukulie sheria jinai au kutaifisha basi nchi haitokalika hii
Ni kweli itakuwa mauaji na visas. Japo kwa sasa serikali ni kama imewekwa na hawa mafedhuri endelea kupambana kwa njia za Hali.
 
Kwa kifupi nchi zenye kufata sheria na haki za binaadamu huyo alibanwa sehemu zake za Siri na kuteswa madai yake yangefuta madeni yote na utajiri juu.
Ni sahihi. Lakini sasa vyombo vyetu vya kutoa Haki viko mfukoni mwa watu.
 
Kisaikolojia na kibiashara. Salaa hapo ndio mkosaji mkubwa tu Tena na weza Seema ulikua Kama mtego tuu. Huwezi jiitaa we mfanyabiashara unaye jali pesa zako. Je ulivyo kuwa unamkopesha 500M ulimkopesha kuanza biashara au kuendeleza je ni mkopeshaji gani ambaye anakopesha pesa mtu kuanza biashara mpya bila hatua za awali. Jamaa alijua mwisho wa siku madogo wataingia mtegoni na inaelekea ndio michezo yake michafu nyie someni Apo alipo Sema hapo iti itakugharimu ndio ujue jamaa alikua anajua mwisho anaumalizaje. Hawo jamaa huwezi walaamu Sana kwasababu huwezi jua wao na pesa nyingi wanausiano gani? Huyo jamaa ni muhuni tuu na dhulumati Kama kweli ni mtu safi wapige mahesabu vizuri tu kila mtu apate haki yake.


Mnomtete salaah acheni umafia jamaa alijua kuwa mwisho unakaaje huwezi sema alitoa pesa kiutu hapo.
 
😂😂😂

Badala afanye juu Chini huyu aliyemuibia arudishe kiasi alichokiiba, anadili na MTU aliyechukua kilichochake.

Wakati Pius amekiri ameiba, ni Kwa nini Eliud hakuomba tag kuzifilisi Mali za Pius, ili Pesa iliyopotea ifidiwe na hasara zake
Kwa mtazamo wangu, hakuna aliyemuibia, huyo Pius ni scapegoat tu. Mastermind ni Eliud, baada ya kutakiwa alipe akamtaka partner wake (in crime) amsaidie.

Hiyo kuminywa nini sijui, hizo ni chumvi tu za mleta mada, Pius labda alitishwa tu, akaona isiwe tabu, mali si ipo, ajibu tu ndio nilimuibia Eliud.

Mimi ningekuwa Salaah, na Pius mpaka arudishe mali anazosema zake. Utakuta huyo ni "kanyaboya" tu, mali zote ni za Eliud.

Huu uzi ni kutafuta kulipa kisasi tu cha kutemeshwa mzigo na kukatiwa line.

Usukute na Wakinga nao wanamdai Eliud, sasa auze mali alizompa Pius, azichukuwe aziuze, awalipe Wakinga wenzake.

Na Salaah kwa hesabu zake, kama mali alizomtemesha Eliud. hazijatosha, ajuwe atatemeshwa maisha, mpaka Eliud atatafuta pa kufanyia biashara zingine.

Kwa hao vijana, nahisi Eliud na Pius Hawatoweza kufanya Biashara Dar wala China, watakabwa mpaka "penati" kiushundani tu.
 
Kwa mtazamonwsngu, hakuna aliyemuibia, huyo Pius ni scapegoat tu. Mastermibd ni Eliud, baada ya kutakiwa alipe akamtaka partner wake (in crime) amsaidie.

Hiyo kyminywa ninu sijui, huzo ni chumvi tu za mketa mada, Pius labda alitisha tu, akaona isiwe tabu, mali si ipo, ajibu tu nfio nilimuibia Eliud.

Mimi ningekuwa Salah, na Pius mpaka arudidhe mali anazosema zake. Utakuta huyo ni "kanyaboya" tu, mali zite ni za Eliud.

Huu uzi ni kutafuta kulipa kisasi tu cha kutemeshwa mzigo na kukatiwa line.

Usukute ba Wakinga nao wanamdai Eliud, sasa auze mali alizompa Pius amfichue, aziuze, awalipe Wakinga wenzake.

Na Salaah kwa hesabu zake, kama mali alizomtemesha Eliud. hazijatosha, ajuwe atatemeshwa maisha, mpaka atatafuta pa Eliud atatafuta pa kufanyia biashara zingine.

Kwa hao vijana, nahisi Eliud Hatoweza kufanya Biashara Dar wala China, atakabwa mpaka "penati" kiushundani tu.


Noma Sana.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Back
Top Bottom