Kwa mtazamonwsngu, hakuna aliyemuibia, huyo Pius ni scapegoat tu. Mastermibd ni Eliud, baada ya kutakiwa alipe akamtaka partner wake (in crime) amsaidie.
Hiyo kyminywa ninu sijui, huzo ni chumvi tu za mketa mada, Pius labda alitisha tu, akaona isiwe tabu, mali si ipo, ajibu tu nfio nilimuibia Eliud.
Mimi ningekuwa Salah, na Pius mpaka arudidhe mali anazosema zake. Utakuta huyo ni "kanyaboya" tu, mali zite ni za Eliud.
Huu uzi ni kutafuta kulipa kisasi tu cha kutemeshwa mzigo na kukatiwa line.
Usukute ba Wakinga nao wanamdai Eliud, sasa auze mali alizompa Pius amfichue, aziuze, awalipe Wakinga wenzake.
Na Salaah kwa hesabu zake, kama mali alizomtemesha Eliud. hazijatosha, ajuwe atatemeshwa maisha, mpaka atatafuta pa Eliud atatafuta pa kufanyia biashara zingine.
Kwa hao vijana, nahisi Eliud Hatoweza kufanya Biashara Dar wala China, atakabwa mpaka "penati" kiushundani tu.