Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Wananchi gani?
 
Ooh kumbe? Si uende wewe ukamchukulie chenji yake?

Haya tueleze awamu ya sita "imebase upande gani"?
Umeshaelezwa, akifuatwa ofisini kwake anapiga chenga, kama ni uinevu basi usitetewe, kama ni haki basi arudishe chenji.

#Chenjiirudi
 
Hivi hamuelewi namna ya kudai haki zenu kisheria? Ngoja nikufundishe...

1) Kama Salaah hataki kuwaona nendeni kwa Mwenyekiti wake wa serikali ya mtaa. Peleka malalamiko yako hapo.
 
Hivi hamuelewi namna ya kudai haki zenu kisheria? Ngoja nikufundishe...

1) Kama Salaah hataki kuwaona nendeni kwa Mwenyekiti wake wa serikali ya mtaa. Peleka malalamiko yako hapo.
Umeshaambiwa ukijaribu kwenda huko unauwawa, na mtu anaekwambia hivyo anaweza na hashindwi kufanya hayo.., sasa kuna mtu anaetaka kufa? Kama ni dhulma isitetewe, kama ji haki basi chenji kiasi cha shs.235mil. Irudishwe.

#chenjiirudi
 
Ushahidi si pumbu zake mwenyewe vipi bro inasemekana hasimamishi kabisa na yeye si anamjua aliyemfanyia hivyo?
Sheria haiendi hivyo,, maana alieteswa hajataka mambo mengi,, alietaifishwa hela ndo amefungua kesi ya kudai fweza zake zilizosalia,
 
Ila braza hauna content yaani, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†πŸ»β€β™€οΈ,
Kwani braza una elimu gani? πŸ˜πŸ€”
 
Kaja kulalamika jf,, si mahakama zipo, au?
 
Kaja kulalamika jf,, si mahakama zipo, au?
Kwani we kichwani huna akili kabisa au? Umeshaambiwa, akienda huko kaambiwa watamuua, kwani kuna mtu anataka kufa? Angalau hapa wakimuua tutajua ni nani.., rudisheni chenji kwanza, 235mil.

Basi huyo ni fala,, kwani yeye hawezi kuua? 😲
 
Basi huyo ni fala,, kwani yeye hawezi kuua? 😲
Sasa kuua au kuteka, unahitaji uwezo wa kiintelijensia na kifedha pia.., mtu ana watu kila kona, hata ukikohoa tu taarifa anaipata, ile unafanya tu mipango tayari keshajua na ameshakumaliza.., mwenye pesa hivyo hiwezi muua kirahisi mzee. Kama ni uonevu tusiutetee, na kama ni haki basi rudisheni chenji, 235mil, #chenjiirudi

Siyo simple kihivyo,, hata kama kweli anadai change, kwasasa hawezi kupewa, maana itakua kama wanakubali walixhukua pesa,
Cha kufanya, either awe mpole au aingie vitani,,
Kwani kufa kitu bana, πŸ˜‚,yeye ajitoe mhanga tu kwa lolote, afungue kesi afu asubiri nani atakuja kumuua,, πŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈ,
 
Hapana, chenji irudishwe tu; #chenjiirudi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…