mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Salah kaonewa na eliud,Kweli kabisa, naona Salaah kaonewa na Eliud, Eliud arudishe mali ya wizi.
Eliud naye kaonewa na pius!
Hapo sasa kila mtu amminye wa kwake
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salah kaonewa na eliud,Kweli kabisa, naona Salaah kaonewa na Eliud, Eliud arudishe mali ya wizi.
Huwa nakuona Una akili kumbe mshambaSalah kaonewa na eliud,
Eliud naye kaonewa na pius!
Hapo sasa kila mtu amminye wa kwake
Ova
Wananchi gani?Ila watanzania tumezidi unyonge.
Toka GSM walipoanza kulalamikiwa hakuna cha maana walichowahi fanywa. Sana sana wanaendelea kudunda tu.
Kama serikali imewashindwa waseme wananchi waingie mzigoni. Tuone hao majini kama watawasidia. Pumbavu.
Ila huyu Salaah atakuja kuwa na mwisho mbaya mno. Malalamiko dhidi yake yamekuwa mengi mno.
Watu design yake ndio wanaishia kupata stroke wanajinyea kitandani hapo hapo.
Kama dhulma zake zina ukweli basi Mungu ampe hukumu yake hapa hapa duniani
Hao Waislam walio "makatili" watakuwa ni Waislam jina hao, Uislam haufundishi ujinga. Si unaona mfano kwa mama Samia, au huoni, walioikimbia nchi wanarudi.Waislam makatili mno
Umeshaelezwa, akifuatwa ofisini kwake anapiga chenga, kama ni uinevu basi usitetewe, kama ni haki basi arudishe chenji.Ooh kumbe? Si uende wewe ukamchukulie chenji yake?
Haya tueleze awamu ya sita "imebase upande gani"?
Hivi hamuelewi namna ya kudai haki zenu kisheria? Ngoja nikufundishe...Umeshaelezwa, akifuatwa ofisini kwake anapiga chenga, kama ni uinevu basi usitetewe, kama ni haki basi arudishe chenji.
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...www.jamiiforums.com
#Chenjiirudi
SawaWananchi gani?
Umeshaambiwa ukijaribu kwenda huko unauwawa, na mtu anaekwambia hivyo anaweza na hashindwi kufanya hayo.., sasa kuna mtu anaetaka kufa? Kama ni dhulma isitetewe, kama ji haki basi chenji kiasi cha shs.235mil. Irudishwe.Hivi hamuelewi namna ya kudai haki zenu kisheria? Ngoja nikufundishe...
1) Kama Salaah hataki kuwaona nendeni kwa Mwenyekiti wake wa serikali ya mtaa. Peleka malalamiko yako hapo.
Sheria haiendi hivyo,, maana alieteswa hajataka mambo mengi,, alietaifishwa hela ndo amefungua kesi ya kudai fweza zake zilizosalia,Ushahidi si pumbu zake mwenyewe vipi bro inasemekana hasimamishi kabisa na yeye si anamjua aliyemfanyia hivyo?
Ila braza hauna content yaani, 😂😂🙆🏻♀️,Mimi ni mwana jamii forums, na nachangia tu hii hoja kama wewe unavyofanya, na hoja yangu ni kwanini hamtaki kumrudishia kijana wa watu chenji yake iki aendelee na maisha yake , kwanini? #Chenjiirudi
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...www.jamiiforums.com
Kaja kulalamika jf,, si mahakama zipo, au?Umeshaambiwa, akienda ofisini ili wapigiane hesabu hapatikani, na anazungushwa, ndio maana kaja kulalamika. Kwanini hamtaki kurudisha chenji 235mil? #Chenji irudi
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...www.jamiiforums.com
Kwani we kichwani huna akili kabisa au? Umeshaambiwa, akienda huko kaambiwa watamuua, kwani kuna mtu anataka kufa? Angalau hapa wakimuua tutajua ni nani.., rudisheni chenji kwanza, 235mil.Kaja kulalamika jf,, si mahakama zipo, au?
Basi huyo ni fala,, kwani yeye hawezi kuua? 😲Kwani we kichwani huna akili kabisa au? Umeshaambiwa, akienda huko kaambiwa watamuua, kwani kuna mtu anataka kufa? Angalau hapa wakimuua tutajua ni nani.., rudisheni chenji kwanza, 235mil.
#Chenjiirudi
Sasa kuua au kuteka, unahitaji uwezo wa kiintelijensia na kifedha pia.., mtu ana watu kila kona, hata ukikohoa tu taarifa anaipata, ile unafanya tu mipango tayari keshajua na ameshakumaliza.., mwenye pesa hivyo hiwezi muua kirahisi mzee. Kama ni uonevu tusiutetee, na kama ni haki basi rudisheni chenji, 235mil, #chenjiirudiBasi huyo ni fala,, kwani yeye hawezi kuua? 😲
Siyo simple kihivyo,, hata kama kweli anadai change, kwasasa hawezi kupewa, maana itakua kama wanakubali walixhukua pesa,Sasa kuua au kuteka, unahitaji uwezo wa kiintelijensia na kifedha pia.., mtu ana watu kila kona, hata ukikohoa tu taarifa anaipata, ile unafanya tu mipango tayari keshajua na ameshakumaliza.., mwenye pesa hivyo hiwezi muua kirahisi mzee. Kama ni uonevu tusiutetee, na kama ni haki basi rudisheni chenji, 235mil, #chenjiirudi
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...www.jamiiforums.com
Hapana, chenji irudishwe tu; #chenjiirudiSiyo simple kihivyo,, hata kama kweli anadai change, kwasasa hawezi kupewa, maana itakua kama wanakubali walixhukua pesa,
Cha kufanya, either awe mpole au aingie vitani,,
Kwani kufa kitu bana, 😂,yeye ajitoe mhanga tu kwa lolote, afungue kesi afu asubiri nani atakuja kumuua,, 🤷🏼♂️,
Nyie mnamatatizoHao Waislam walio "makatili" watakuwa ni Waislam jina hao, Uislam haufundishi ujinga. Si unaona mfano kwa mama Samia, au huoni, walioikimbia nchi wanarudi.