Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Screenshot_2023-03-12-02-30-42-96.png
 
Vyombo vya ulinzi na.hasa jeshi la polisi ulinzi w raia na Mali zake umebaki jina ya mtu 1 na biashara yake kusafirisha mizigo pesa za kigeni zinatoroshwa kinyemela tuliowapa dhamana.ya kuangalia kwa niaba yeu watanzania mil 60 na ushee kinafaidika kikundi kichache hii so sw mukhari viongozi uweken pembeni wasaaidien ndugu zetu pesa zao pale kariako biashara iendelee Kama ujuavyo kariakoo ni soko.la.africa karibu nnchi zote zinazozunguka zipata nahitaji yake kariakoo hiyo kampun yao.sio.lazima iwepo hata huo uvaaji wa kanzu ni Kama unadhurumu watu walikuwa wanaendesha familia zao wewe unachua kiulain tu na kile kiapo viungozi unachopishwa na jaji Mara baada teuzi ni khitifaki tu ? Iko kufalia hili kwa maendeleo yetu sote
Screenshot_2023-03-12-02-32-52-62.png
 
Mwenye Enzi Mungu ni wewe tu uwezae kutuokoa sisi na nchi yetu Tanzania [emoji1241] katika majanga kama haya, tuwokoe [emoji24][emoji24]ehh Mola wetu maana maji yako shingoni [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwenye ubaya palianza na wema hapo awali.
Kweli kabisa, nimekisoma kisa kwa kina. Huyo Eliud si angelipa tu kuanzia mwanzo alipoambiwa alipe? Maana haiwezekani mtu aanze kukutemesha kwa nguvu bila kwanza kukwambia, leta pesa, mbona hesabu zako hulipi?

Inaonesha guyo Eliud akawa mbishi kulipa akitegemea uchawi wa Kikinga umeshamfunga Salaah, dah kustuka baada ya kutemeshwa, kumbe uchawi umedunda!

Naamini angelipa au angeonesha nia ya kulipa japo kidogo kidogo kuanzia mwanzo, hiki kisa cha majungu kisingekuwepo.

Rliud kajipalilia moto mwenyewe, halafu anakuja hapa anajuwa kuna wajinga na madhalim kama yeye watajidai kumuonea huruma. Huyo si wa kuhurumiwa hata chembe. Ni mwizi mjinga tu.
 
Piusi si kakiri kuiba na ana nyumba kajenga kwa pesa za kuiba? Si ukamtemeshe Piusi?
Ni lini mnarudisha chenji iliyozidic, ambayoni 235mil.? #chenjiirudi

In any business you can't smile on people's face and expect faida or win a business...unamuona Trump ni km chizi hivi but the guys is one of the rich person in USA,hata huko Bahresa. ..helawanayolipwa watu doesn't reflect a really life...it is either take it or leave it
 
Kweli kabisa, nimekisoma kisa kwa kina. Huyo Eliud si angelipa tu kuanzia mwanzo alipoambiwa alipe? Maana haiwezekani mtu aanze kukutemesha kwa nguvu bila kwanza kukwambia, leta pesa, mbona hesabu zako hulipi?

Inaonesha guyo Eliud akawa nbishi kulipa akitegemea uchawi wa Kikinga umeshamfunga Salaah, dah kustuka baada ya kutemeshwa, kumbe uchawi umedunda!

Naamini angelipa au angeonesha nia ya kulipa japo kidogo kidogo kuanzia mwanzo, hiki kisa cha majungu kisingekuwepo.

Rliud kajipalilia moto mwenyewe, halafu anakuja hapa anajuwa kuna wajinga na madhalim kama yeye watajidai kumuonea huruma. Huyo si wa kuhurumiwa hata chembe. Ni mwizi mjinga tu.
Ni lini sasa mtarudisha chenji iliyozidi takriban 235mil. #Chenjiirudi

Ni lini sasa mtarudisha chenji iliyozidi takriban 235mil. #Chenjiirudi

Huyo bado anadaiwa, hajapiga hesabu ya faida amabayo ilitegemewa kuingizwa kwa pesa aliyoiba. Na sasa apambane na wakinga wenzake.
 
GSM Hawana uhusiano na JK . Ni kawaida Yao kujipendekeza kwa Kua karibu na viongozi waliopo madarakani iwe TRA au serikalini ukitoka madarakani hawana muda na wewe same applies na Jk walimdharau sana kipindi ametoka madarakani Simu ya JK walikua hawapokei wanaenda analia shida Kila siku

Wamejiludisha hivi karibuni kwa MZee wa Msoga baada ya kuona mzee ana nguvu kwenye serikali hii .

Walimtumia sana Mama yangu TRA kwenye Kazi zao alivyostaafu na Simu Waliacha kupokea kwa kifupi GsM ni akili kubwa

Hahahahhahah!!!we kijana kuwa Serious basi!!!Yaaani GSM wasipokee simu ya JK?
Yaaani JK awapige Kizinga hao vijana?
 
Huyo bado anadaiwa, hajapiga hesabu ya faida amabayo ilitegemewa kuingizwa kwa pesa aliyoiba. Na sasa apambane na wakinga wenzake.
Faida anatengenezaje sasa wakati pesa yote inayodaiwa imechakukuliwa na Salaah, na hata ile ziada yake iliyobaki ya 235mil. ambayo yeye anatakiwa aitumie kutengeneza faida nayo imeshikiliwa na Salaah, na hataki kupiga nae hesabu walamkuirudisha. Sasa kwanini hamtaki kurudisha chenji? #Chenjiirudi

Ni lini mnarudisha chenji iliyozidic, ambayoni 235mil.? #chenjiirudi

Kwanini ulipe zaidi ya deni? Ungekubali kulipa kwa hiyari hayo yote yangetokea?
 
Nenda kwa Salaah ukamchukulie wewe chenji.
Wewe jadili hoja kwa hoja, kuniambia mimi niende nikamchukulie chenji ni kuishiwa hoja. Ni kwanini hamtaki kurudisha chenji takriban 235mil? #Chenjiirudi

Kwanini ulipe zaidi ya deni? Ungekubali kulipa kwa hiyari hayo yote yangetokea?
Yeye hajalipa, bali mali za waliomtuma zilizokuwa kwenye melikutoka China zimechukuliwa zote na Salaah kwa ahadi ya kuja kupigiana hesabu ili pesa iliyozidi irudishwe.., sasa hilo halijafanyika na chenji haijarudishwa, kwanini hamtaki kurudisha chenji lakini? Takriban 235mil, #Chenjiirudi

Back
Top Bottom