Labda atachaguliwa na wapiga dili wa awamu hii mabashite. Hakuna mwenye mtz yeyeto mwenye akili timamu atarudia makosa ya kuweka rehani maisha yake wanaogopa visasi vyake kwani atohitaji kura zao Tena atawaumiza Sana watz.Na bado atachaguliwa na wananchi 28/10/2020
Una uhakika na unachoongea!?, Nyie Hali mnaiona kabisa media zinamuunga mkono, halafu mnatoa maneno yakujifariji!. Chadomo na Lissu subirini huu si muda mwafaka kwenu hata kidogo Jamani mtabaki kujaza threads za kumpinga Magufuli lakini ukweli ni kwamba Magufuli Hana mpinzani.Labda atachaguliwa na wapiga dili wa awamu hii mabashite. Hakuna mwenye mtz yeyeto mwenye akili timamu atarudia makosa ya kuweka rehani maisha yake wanaogopa visasi vyake kwani atohitaji kura zao Tena atawaumiza Sana watz.
Media Ni sawa na viongozi wa dini wanalazimishwa kufanya wasiyoyataka.Una uhakika na unachoongea!?, Nyie Hali mnaiona kabisa media zinamuunga mkono, halafu mnatoa maneno yakujifariji!. Chadomo na Lissu subirini huu si muda mwafaka kwenu hata kidogo Jamani mtabaki kujaza threads za kumpinga Magufuli lakini ukweli ni kwamba Magufuli Hana mpinzani.
Mtanzania gani atampa Lissu nchi ilihali chadema hata ofisi hawana, viongozi wake wako disorganized.
Labda TL atakuwa rais wa Jamii Forum 😆. Maana ndo anakubalika zaidi.
I THINK THE PROB IS THAT WE HAVE HAVE A MANAGER INSTEAD OF A LEADER.......LETS MOVE FOR A LEADER NOWKwa Jamii ya watu walioelimika na kustaarabika asingepata hata umonita darasani Hana ethics za leadership
Je hizo hoja ni za kweli au siyo kweli?Binadamu yeyote anapenda sana kuwa kwenye comfort zone, yaani hatakubaliana na Jambo lolote hata liwe jema namna gani litalomuondoa kwenye hali aliyokuwa awali.
Mabadiliko yaliyoletwa na awamu ya tano yametufanya tuwajibike kwa asilimia kubwa katika kulipa Kodi, na kuwajibika katika nyanja nyingine pia za kijamii,
sasa kwa kuwa kuna watu waliokuwa wakifaidi mfumo uliopita na sasa wamebanwa lazima walalamike,
Ndio hawa mleta mada akiwemo.
Magufuli anaweza asifae kwa viwango vya mleta uzi lakini ni mara elfu kumi awe yeye rais kuliko huyo anayetishia watu kuwa tutashtakiwa na wazungu halafu hao hao wakapanda ndege kuja Tanzania ili kushirikiana na serikali.Na bado atachaguliwa na wananchi 28/10/2020
Yaani unaonyesha kabisa kuwa unaumia sana, Jiwe hafai hata kuwa konda wa daladalaUna uhakika na unachoongea!?, Nyie Hali mnaiona kabisa media zinamuunga mkono, halafu mnatoa maneno yakujifariji!. Chadomo na Lissu subirini huu si muda mwafaka kwenu hata kidogo Jamani mtabaki kujaza threads za kumpinga Magufuli lakini ukweli ni kwamba Magufuli Hana mpinzani.
Mtanzania gani atampa Lissu nchi ilihali chadema hata ofisi hawana, viongozi wake wako disorganized.
Labda TL atakuwa rais wa Jamii Forum [emoji38]. Maana ndo anakubalika zaidi.
Nasikia Mkuu wa Nchi anaitwa pia Comforter in ChiefIn Lissu we have a comforter, teh! Lissu ameamua kuwa mfariji wetu, that's hilarious. Kumbe tunahitaji mfariji, hii nimeisikia kampeni hizi.
Je hizo hoja ni za kweli au siyo kweli?
Je hoja alizo orodhesha ni za kweli au si kweli?Hahah siaza za majitaka hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] angekuwa raisi ni mbaya usingekuwa na nafasi ya kutuliza masaburi yako hapo ulipo na kuweka bando la kuanza kumdiss.
Hili ni sawa tu na enzi zile tunakuwa baba akiwa kauzu ili usipotoke unaona mzee anakufatilia sana mambo yako ila ukishakuwa na kufanikiwa kimaisha unaona umuhimu wake na kumpenda maradufu baba yako. Kwahio we tulia tu siku ukija kuwa mtu mzima utaona umuhimu wa Magu!
Hizo hoja hazina mashiko kwa sasa,Je hoja alizo orodhesha ni za kweli au si kweli?
Tumkatae Jiwe kwa pamoja kwa ustawi wa Taifa hiliMagufuli anaweza asifae kwa viwango vya mleta uzi lakini ni mara elfu kumi awe yeye rais kuliko huyo anayetishia watu kuwa tutashtakiwa na wazungu halafu hao hao wakapanda ndege kuja Tanzania ili kushirikiana na serikali.
Magufuli na udhaifu wake wote ni mzalendo kuliko mgombea yoyote mwenye nia iliyojificha ya kumtumikia mtu wa nje.
Sijazungumzia mashiko, je ni kweli au siyo kweli?Hizo hoja hazina mashiko kwa sasa,
Unazingua ww kwaiyo sisi tunaokatwa asilimia 15 na bodi ya mikopo ni sawa unavyoona? Unajua muda mwingine bora ukae kimya mzee huu ndo muda wa kuongea mambo haya ww unakuja kusema hoja hazina mashiko kwa sasa sasa zitakuwa na mashiko baada ya uchaguz au ? Hata kama unamapenz ya chama chako ila penda kuwa mkweli na kutetea haki acha mihemko binafsi.Hizo hoja hazina mashiko kwa sasa,