Uchaguzi 2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais


Mkuu Odhiambo Cairo, sikukulenga wewe kujibu hoja zako.

Kwamba Katiba ni mbovu ni mtazamo wa kila mtu kulingana na Ibara zinazogusa haki na uhuru wake binafsi au kikundi km chama cha siasa.

Kauli/majibu za Rais aliyeko madarakani, uliyotoa mfano nimekwisha yatolewa majibu. Kwamba tangu upinzani uanze 1992 ni mwendo wa kuhujumu juhudi za Serikali za maendeleo. Hivyo basi, nia ovu ya Wabunge/Madiwani wa upinzani kukwamisha shighuli za maendeleo ndio msingi wa kauli hizo. Naam, wanaosababisha wananchi wabaguliwe ni viongozi wa upinzani

Hakuna anayebisha Lissu alitendewa vibaya. Ila tangu apate fahamu amekuwa akihituhumu Serikali kwa shambulio hilo. Je, ukweli utakapowekwa wazi kuwa Rais au viongozi wa Serikali hawahusiki, ataomba msamaha?
 
Kwa hakika hatutaki kiongozi mbaguzi na anayeeneza chuki na rohombaya miongoni mwa watanzanzia! Hana huruma hata kwa hao wanyonge anaojiita kiongozi wao! Mwenyezi Mungu atunusuru na janga hili!
 
29. Ana visasi tusipolinda kura tutajuta kwa miaka kumi au zaidi sababu atabadili katiba.
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala....Mtapata taabu sana mwaka huu wakati Watanzania wazalendo watakapomchagua tena kukamilisha awamu yake ya mwisho ya uongozi.
 
Kura yangu kwake tarehe 28.10.2020 mapema sana huyo mbeligiji arudi tu hana jipya
 
tusubili wa LUMUMBA CREW na utetezi wao juu ya kiongozi wao
 
Watz awaelewi hatari mbele yake ilifaa na hata asusiwe kabisa mikutano yake abaki na diamond.
watu wanasafiliswa toka huko ndani ndani na mabasi na posho juu whose one can reject it?
 
Haya tushayazoea kwa kipindi cha miaka minne hii ndio ilikuwa kauli yetu CCM ila hapa WASAKATONGE walimpamba UONGO mkulu.
 

Naweza kukuunga mkono sababu 26/27 ulizotoa ila hiyo sababu namba 1 umeongea uongo. Nadhani sahihi ungesema amepunguza idadi ya ajira na si hajatoa ajira.

Ukipita pale DUCE karibu kila baada ya weekend 3 au 4 unawakuta watu wapo kwenye interview.

Ukitembelea tovuti ya sekretarieti ya ajira lazima ukute tangazo la kazi.

Juzi juzi tu hapa wameajiriwa madaktari 1000, eGA wametoa nafasi za kazi zaidi ya 60 tangazo lime-expire 1/9/2020

Naamini wapo wanaopata kazi sema kwa vile sio watu wetu wa karibu wanaotuzunguka basi tunashindwa kuona hili.

All in all usipoteze haki yako 28/10/2020 fanya maamuzi sahihi.
 
Lowasa alimuachia Mungu.Lisu sio lowsa kuna mmoja lzm aende the Hague October
 
Mnapenda kuorodhesha vitu vinavyohusu ukoo wenu.

JAMBO LA KUPENDEZA NI KUWA UPINZANI HAUJAJIPANGA KUMUONDOA MBABECCM.

Umejipanga kugawana RUZUKU.
Vipi kuhusu kuzuia FAO LA KUJITOA
, Hili nalo linaihusu familia yetu.?
 


Kiongozi yoyote yule ambaye anatubagua kwa namna yoyote ile, na ambaye hafuati katiba yetu, hatufai, TUMKATE, Maana hana tofauti na kaburu, ni kaburu tu.
 
Huo si ubaguzi unaozungumziwa kwenye hiyo katiba,,,
Mtoa post umekurupuka,,,,,,
Magufuri amewaambia ukweli,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…