Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
- Thread starter
- #101
Ni mtazamo wako, ila mimi siwaoni mabwege, naona ni watu wanaohitaji kujifunza ndo mana nipo tayari kuwafundisha.Nakuombea mkeo/mpenzi wako awe tajiri ili ujionee uhalisia. Haya mambo ni rahisi sana kuwaona wenzako mabwege kama wewe hayajakukuta
Tatizo linakujaga kwamba watu wengi hawapo tayari kujifunza mpaka mambo yaharibike kabisa...