Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
- Thread starter
- #61
Nami nilikua nataka niandike hivi, umeandika vizuri, asante.Naona una matatizo ya kuchukia utajiri.Hata huyo uliyenaye sasa hivi unayemuombea awe "tajiri" utalose interest akipata huo utajiri.
Unaweza kuwa na "allergy" na utajiri au wewe ni mwanamke wa "ajabu"!
.
Demi kama ndo maisha uliyochagua kuishi haina shida, ila tu kuwa makini ni vikomo unavyojiwekea na imani unazoamini sababu ndio funguo au kufuli za maisha.