Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unique Flower sina hata kumi,ninamiliki ndevu na dushe peke yake.Kitaeleweka kweli?😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sababu za kutosha za kutafuta pesa na sio kisa mwanamkeMapenzi pesa utaki, paka mate, hata sabuni upati bure
Hapana.Madam hivi yule saidi wa mwanza, aliyemuua mke wake msaliti unamkumbuka??
Naona una matatizo ya kuchukia utajiri.Hata huyo uliyenaye sasa hivi unayemuombea awe "tajiri" utalose interest akipata huo utajiri.Kwanza nilikuwa naamini ya kwamba wanaume wote wenye pesa wana ukimwi.
Halafu sijui kwanini walikuwa hawanivutii kabisa.
Hata sasa hivi mwanaume akiwa na pesa sana hanivutii namuona wa ajabu ajabu wa kula nae starehe tu.
Ila huyu wa kwangu namuombea azidi kupata pesa aje kuwa tajiri😅😅
Nitakuwa ni mwanamke wa ajabu I guess.Naona una matatizo ya kuchukia utajiri.Hata huyo uliyenaye sasa hivi unayemuombea awe "tajiri" utalose interest akipata huo utajiri.
Unaweza kuwa na "allergy" na utajiri au wewe ni mwanamke wa "ajabu"!
Hakuna security iwayo yoyote ya kuzuia kuchapiwa, mwanamke ni kiumbe usichoweza kwa namna yoyote ile, hzo habari za mikito ni tone na hila ultimate measurable indicators za satisfaction yake.Write your reply...Najua suala la ngono lipo kimwili zaidi ila umekataa kulizungumzia kbsa umebase kwenye pesa tu.
Unaweza ukampa mwanamke kila kitu ila ukishindwa kumridhisha kingono na happy ndipo utaanza kuchapiwa na wahuni wa mtaani wasio na mbele Wala nyuma.
Kuna Vibinti Nlivitongozaga, baada ya hapo vikiniona barabarani vinanikimbia, vipo dizaini kama sitaki nataka mara vinitangaze kwa wenzao kua navitaka, hlf sina hela😅 DemiKwanza nilikuwa naamini ya kwamba wanaume wote wenye pesa wana ukimwi.
Halafu sijui kwanini walikuwa hawanivutii kabisa.
Hata sasa hivi mwanaume akiwa na pesa sana hanivutii namuona wa ajabu ajabu wa kula nae starehe tu.
Ila huyu wa kwangu namuombea azidi kupata pesa aje kuwa tajiri😅😅
MKUUMwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi.
Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale anapojua mahitaji yake ya kimwili yanaweza kutimizwa, na mahitaji ya mtoto wake yataweza kutimizwa.
Hela inatimiza mahitaji makuu ma 3 ya kimwili. Mwanamke anakua na uhakika anaweza kuvaa, kula na kulala sehemu nzuri na salama, ukiwa na pesa hivyo vitu vinakua rahisi kwako kutimiza. Sehemu pakiwa na uhakika wa kula basi mtu hujisikia salama kuishi, haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Pia hela inaepusha migogoro midogo midogo, Mfano, unakuta mwanaume anamlalamikia mwanamke anamaliza sabuni ya kuogea, huyo mwanamke atajisikia usalama kuishi na mwanaume anayemuacha ajisafishe kwa amani bila kulalamikiwa kuhusu sabuni.
Hela inawezesha kusafiri na kufurahia sehemu tofauti. Ukiwa na pesa ni rahisi kumtoa mwanamke wako kwenda kutembea (ni jambo muhimu).
Wanawake wanapenda kuweka kumbukumbu tofauti tofauti pamoja na watu wawapendao. Usije ukakaa na mwanamke sehemu moja tu siku zote 365, utachokwa. Panga siku za kutoka. Haijalishi una hela kiasi gani, ila hakikisha mnabadili mazingira angalau mara moja kwa wiki.
Hela inasaidia kupata huduma za kiafya kirahisi. Atajiona yupo salama kwako unapokua na hela ya kumhudumia anapoumwa. Wanawake ni rahisi kukubali kuwa ni wagonjwa (sisi wanaume tunaona kuumwa ni udhaifu) ndo mana mara kwa mara atakuambia anaumwa, sio jambo baya sababu inabidi wawe na afya nzuri ili waweze kuleta uhai mpya wenye afya hapa duniani.
Mahitaji mengine kama vocha, vipodozi na manukato unaweza msaidia kadri uonavyo sawa, hakikisha mwanamke unayetaka kujenga naye maisha anayaweza hayo mahitaji madogo, pia unaweza mfundisha jinsi ya kupangilia matumizi ili asikuelemee kwenye hivyo vitu vidogo.
Ila usije ukadhani ni hela pekee ndio itakuwezesha kumtunza mwanamke wako. Wapo wanaowatimizia wanawake mahitaji ya kifedha na wamewashindwa wanawake, sababu wameshindwa kutimiza mahitaji mengine.
Bali uwezo wako wa kumridhisha kimwili, kiakili na kiroho, na kuwa kiongozi wake mzuri unakuwezesha kumtunza mwanamke unayetaka kujenga naye maisha, ndio maana katika kundi la infinite kiumeni utajifunza kila siku jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke unayetaka kujenga naye maisha.
Ahsante dada.Kwanza nilikuwa naamini ya kwamba wanaume wote wenye pesa wana ukimwi.
Halafu sijui kwanini walikuwa hawanivutii kabisa.
Hata sasa hivi mwanaume akiwa na pesa sana hanivutii namuona wa ajabu ajabu wa kula nae starehe tu.
Ila huyu wa kwangu namuombea azidi kupata pesa aje kuwa tajiri😅😅
Pesa ni muhimu kuliko mbususu. Watafute pesaAhsante dada.
ngoja waje hapa wanaowaambiaga wanaume wezao tafuta pesaaaaaaaaaaaaa.
Tumia hela kugegeda warembo alafu tupa kuleBado ujawajua wanawake, wanawake bado wanatafuta wasicho kipata, wao KILA siku uhangaika kutafuta wasichokipata.
Ishi kuiridhisha nafsi yako na sio kumridhisha mtu.
Hakuna formula ya kummtain mtu.
Mtu aishi kwa kufuata misingi yako na sio yake.
Yule jamaa alikuwa na pesa sana, but still mkewe alimsaliti kipuuzi kabisaHapana.
Nilivyokuwa binti nilikuwa nikitongozwa na mwanaume mwenye pesa natoka mbio, yaani hata kumsikiliza nilikuwa staki...
Now natamani nitongozwe na mwenye pesa ndo hawanitongozi kama sio gundu hili ni nini
Ha haaa bahati nzuri bado nahongwa mkuu.Umeshakua mtu mzima sasa. Umri wa kuhongwa umeshapita.
Ni muda wa kutafuta pesa zako
swali la kizushi.Pesa ni muhimu kuliko mbususu. Watafute pesa
Sijui..tell meswali la kizushi.
unajua tofauti kati ya nice woman and Good woman ?
ngoja kwanza nita ku quote muda si mrefu nice and good woman watakuja afu utaipata true definition kwa mfano ulio hai?Sijui..tell me
Kuwa hohe hahe ndio maisha mabaya.Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi.
Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale anapojua mahitaji yake ya kimwili yanaweza kutimizwa, na mahitaji ya mtoto wake yataweza kutimizwa.
Hela inatimiza mahitaji makuu ma 3 ya kimwili. Mwanamke anakua na uhakika anaweza kuvaa, kula na kulala sehemu nzuri na salama, ukiwa na pesa hivyo vitu vinakua rahisi kwako kutimiza. Sehemu pakiwa na uhakika wa kula basi mtu hujisikia salama kuishi, haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Pia hela inaepusha migogoro midogo midogo, Mfano, unakuta mwanaume anamlalamikia mwanamke anamaliza sabuni ya kuogea, huyo mwanamke atajisikia usalama kuishi na mwanaume anayemuacha ajisafishe kwa amani bila kulalamikiwa kuhusu sabuni.
Hela inawezesha kusafiri na kufurahia sehemu tofauti. Ukiwa na pesa ni rahisi kumtoa mwanamke wako kwenda kutembea (ni jambo muhimu).
Wanawake wanapenda kuweka kumbukumbu tofauti tofauti pamoja na watu wawapendao. Usije ukakaa na mwanamke sehemu moja tu siku zote 365, utachokwa. Panga siku za kutoka. Haijalishi una hela kiasi gani, ila hakikisha mnabadili mazingira angalau mara moja kwa wiki.
Hela inasaidia kupata huduma za kiafya kirahisi. Atajiona yupo salama kwako unapokua na hela ya kumhudumia anapoumwa. Wanawake ni rahisi kukubali kuwa ni wagonjwa (sisi wanaume tunaona kuumwa ni udhaifu) ndo mana mara kwa mara atakuambia anaumwa, sio jambo baya sababu inabidi wawe na afya nzuri ili waweze kuleta uhai mpya wenye afya hapa duniani.
Mahitaji mengine kama vocha, vipodozi na manukato unaweza msaidia kadri uonavyo sawa, hakikisha mwanamke unayetaka kujenga naye maisha anayaweza hayo mahitaji madogo, pia unaweza mfundisha jinsi ya kupangilia matumizi ili asikuelemee kwenye hivyo vitu vidogo.
Ila usije ukadhani ni hela pekee ndio itakuwezesha kumtunza mwanamke wako. Wapo wanaowatimizia wanawake mahitaji ya kifedha na wamewashindwa wanawake, sababu wameshindwa kutimiza mahitaji mengine.
Bali uwezo wako wa kumridhisha kimwili, kiakili na kiroho, na kuwa kiongozi wake mzuri unakuwezesha kumtunza mwanamke unayetaka kujenga naye maisha, ndio maana katika kundi la infinite kiumeni utajifunza kila siku jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke unayetaka kujenga naye maisha.
Utapata mikosi, ngono hovyo sio jambo la ujanja kama unataka mafanikio.Tumia hela kugegeda warembo alafu tupa kule