Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

Bado ujawajua wanawake, wanawake bado wanatafuta wasicho kipata, wao KILA siku uhangaika kutafuta wasichokipata.
Ishi kuiridhisha nafsi yako na sio kumridhisha mtu.
Hakuna formula ya kummtain mtu.
Sio wanawake tu, binadamu yeyote huangaika kutafuta asichokipata.
 
Nyie mmezidi,ukiwa na pesa tabu ataliwa na asiye na pesa,ukiwa huna ataliwa na wenye pesa
Hata mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja kutokana na factors mbali mbali. Iweje sie turidhike na pesa tu?
 
Bado ujawajua wanawake, wanawake bado wanatafuta wasicho kipata, wao KILA siku uhangaika kutafuta wasichokipata.
Ishi kuiridhisha nafsi yako na sio kumridhisha mtu.
Hakuna formula ya kummtain mtu.

Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom