Infinite_Kiumeni JF-Expert Member Joined Jan 23, 2023 Posts 382 Reaction score 687 Feb 8, 2023 Thread starter #101 Natafuta Ajira said: Nakuombea mkeo/mpenzi wako awe tajiri ili ujionee uhalisia. Haya mambo ni rahisi sana kuwaona wenzako mabwege kama wewe hayajakukuta Click to expand... Ni mtazamo wako, ila mimi siwaoni mabwege, naona ni watu wanaohitaji kujifunza ndo mana nipo tayari kuwafundisha. Tatizo linakujaga kwamba watu wengi hawapo tayari kujifunza mpaka mambo yaharibike kabisa...
Natafuta Ajira said: Nakuombea mkeo/mpenzi wako awe tajiri ili ujionee uhalisia. Haya mambo ni rahisi sana kuwaona wenzako mabwege kama wewe hayajakukuta Click to expand... Ni mtazamo wako, ila mimi siwaoni mabwege, naona ni watu wanaohitaji kujifunza ndo mana nipo tayari kuwafundisha. Tatizo linakujaga kwamba watu wengi hawapo tayari kujifunza mpaka mambo yaharibike kabisa...
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 16, 2023 #102 Kabla ya kutaka kumvutia mwanamke kwa pesa kwa makusudi, mwanamme hususan, inafaa sana kusikiliza wimbobhuu wa DDC Mlimani Park.
Kabla ya kutaka kumvutia mwanamke kwa pesa kwa makusudi, mwanamme hususan, inafaa sana kusikiliza wimbobhuu wa DDC Mlimani Park.