Pre GE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

Pre GE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
Kula bila kunawa mikono akitumia "urefu wa kamba".
Gesi ya Ntorya unajuwa ilivyo kwenda Oman? Hizo ndio 4RRRR za mama hizo!

Lakin la msingi zaidi yanako tokea yote hayo uliyo yataja hapo ni kuwa kiongozi asiye guswa kabisa na watu anao waongoza. Yeye la muhimu ni "urais", cheo na sifa zinazo ambatana na cheo hicho; lakini kuguswa na hali ya anao waongoza? Labda huko upande wa pili anako tokea, siyo huku mabondwe kwinama.

Akimaliza urais wake, atakuwa anajivunia kuwa rais wa nchi; lakini siyo aliyo yafanya kubadili hali za watu alio watawala. Hana dira wala lengo la nini angejivunia kulifanyia taifa hili na wananchi wake ambalo inge kuwa ni alama ya utambulisho wa uongozi wake.

CCM ime wakosea sana waTanzania kwa huyu mama.
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
Zote hizo hazitamzuia kuwa rais kwa vile atachakachua. Anavyosifiwa hata akijamba, nani akatae kuhakikisha anashinda ili genge lote la wezi la CcM lisiporomoke kama lile la Kenya au Malawi, Zambia na juzi juzi Botswana?
 
Kweli CCM imeishiwa viongozi. Samia amekuwa Rais kwa bahati mbaya, na ameprove wazi kwamba hawezi kupitia
1. Utekaji na mauaji ya raia
2. DP World
3. Kukithiri kwa rushwa
4. Ngorongoro-Maasai case
5. Kuua demokrasia nchini
6. Kubinafsisha KIA
7. Maisha magumu kwa Watu hasa wa bara,
Lakini bado wanaimba nani kama mama. Kisa wana ruhusa ya kujinufaisha na raslimali za nchi isivyo halali.
 
Kula bila kunawa mikono akitumia "urefu wa kamba".
Gesi ya Ntorya unajuwa ilivyo kwenda Oman? Hizo ndio 4RRRR za mama hizo!

Lakin la msingi zaidi yanako tokea yote hayo uliyo yataja hapo ni kuwa kiongozi asiye guswa kabisa na watu anao waongoza. Yeye la muhimu ni "urais", cheo na sifa zinazo ambatana na cheo hicho; lakini kuguswa na hali ya anao waongoza? Labda huko upande wa pili anako tokea, siyo huku mabondwe kwinama.

Akimaliza urais wake, atakuwa anajivunia kuwa rais wa nchi; lakini siyo aliyo yafanya kubadili hali za watu alio watawala. Hana dira wala lengo la nini angejivunia kulifanyia taifa hili na wananchi wake ambalo inge kuwa ni alama ya utambulisho wa uongozi wake.

CCM ime wakosea sana waTanzania kwa huyu mama.
Imewakosea nini wakati yupo mjengoni kikatiba . Tatizo mnaamini CCM ina nguvu zaidi kuliko raia
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
Kwa tume teuliwa na tume majizi na uzoefu wa kupikia kwenye masunduku chakula kwao yote hayo hayawasumbui ama?
 
Mzenji kuwa namba 1 wa JMT hutokea endapo kuna transition tu, ila kugombea directly ni kisanga.

Namba 1 wa JMT ndiye namba 1 wa Tanganyikani.

Kama ilivyo ngumu kwa Mbara kuwa namba 1 Zenji, ndivyo ilivyo ngumu kwa Mzenji kuwa namba 1 Tanganyika.
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
Inasemekana kuna haya pia sijui ni kweli au uongo?
6. Kubinafsisha misitu,
7. Kujivuka upofu na ukiziwi
8. Maisha mabovu ya watumishi
9. Hajui chochote ni tone la maji ndani ya Bahari
10. Tanganyika imenuna na inafuka Moshi
11. Mzazibari hawaaminiki tena na Tena
12. Umakisudi wa kuharibu Tanganyika
 
Back
Top Bottom