Pre GE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

Pre GE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Migawanyiko ndani ya CCM hakuna tutajie nani na nani wamegawanyika?
 
Yaani huo ujinga wenu msituletee huku, sisi hao akina mama hawawi watawala bali tunaoa na kuweka ndani. Akija huku kizimkazi ni mke wa tatu wa Hafidh.
Full stop.
She is one of your own, you have to take one for the team like we did.
Kipindi Cha kwanza kapiga huku. Dakika 45 zingine apige huko.

Enough is Enough
 
Samia akiwa rais 2025 mtarudi kuupitia uzi huu tena kuangalia mmekosea wapi?

Su mnajifurahisha tu?
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.

Mambo yafuatayo yatampa Samia Ushindi wa kishindo 2025;
1. Kusimamia na Kukamilisha miradi yote ya kimkakati/ bwawa la Nyerere, daraja la busisi n.k.
2. Elimu bure hadi kidato cha 4/ mfumo wa elimu umeboreshwa/ mikopo ya elimu ya juu n.k
3. Ujenzi wa vituo vya afya/ uwepo wa vifaa tiba ktk kila hospitali.
4. Watumishi wa umma wamepandishwa madaraja baada ya kugand8shwa zaidi ya miaka 4.
5. Uhuru wa vyombo pamoja na wanasiasa ambao ulibanwa kwa zaidi ya miaka 4.
6. Jinsi alivyo tuvusha kwenye janga la Koro.
7. Ameifungua nchi kiuchumi na kidiplomasia.
Mambo ni mengi sana, yaani Rais Dkt Samia sio tu kwamba atashinda bali atashinda kwa zaidi ya 95%.
 
Hizo ndoto umeota baada ya kuvuta bangi. Samia yupo hadi 2030.

Hizo issues hazina impact yeyote kwa wapiga kura.

Zinaongelewa kwenye mitandao tu lakini kunako ground hazina mashiko
Mbona mnateka watu wanaowakosoa mbona manogopa maandamano ya vyama vya Upinzani tena ya Amani
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
6. Pests & Diseases.
7. Lack of capital.
8. Poor Infrastructure.
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
6. Kulazimisha kuwepo na fomu moja yake pekee ya ugombea urais kupitia CCM
7. Kujitangaza nchi nzima kwa mabango kabla ya muda wa kampeni
 
6. Kulazimisha kuwepo na fomu moja yake pekee ya ugombea urais kupitia CCM
7. Kujitangaza nchi nzima kwa mabango kabla ya muda wa kampeni
Mama mpk ameanza kupauka usoni kwa tamaa ya kupata awamu ya pili 2025.
 
Back
Top Bottom