Hata mkitaja sababu zaidi ya 100 lakini tatizo siyo CCM wala yeye, tatizo ni Jamii,
Tunaishi Kwenye jamii ya kanyaga twende, jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Jamii ambayo unaweza ukaisafisha ubongo, ikafikiri unavyotaka wewe hata kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
Hitimisho binadamu akipata changamoto huamsha ubongo anapofanya hivyo huibuka na ubunifu. Niwatie moyo kwamba ni lazima tutaibuka na ubunifu, ambao hakika utarudisha akili kwenye mafuvu ya jamii mfu, ambayo imekuwa ikisafishwa ubongo na CCM
Tanzania tumepata changamoto kutokana na binadamu anaye pewa dhamana ambao wamekengeuka, wamekuwa wasakatonge mchwa,