milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
6. Tarura na Tanroads imekufa1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja moja tena.
7. Miradi ya kimkakati imesinzia
8. Uchaguzi wa serikali za mitaa mbovu
9. Udini