Pre GE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

Pre GE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Maza arudi kwao. Mimi binafsi simtaki na najua watanganyika wenzangu wengi hawamtaki so hicho alichokula kwasababu ya ujinga wetu na katiba yetu mbovu kinatosha. Arudi kizimkazi au akatawale na kakake huko. Huku No.

Majaliwa baba, nchi Yako hii pambana chukua fomu, gombea.
 
Kamuulize Kikwete, nusura aukose uenyekiti wa chama kwa kupigiwa kura za maruhsni.

Na 2015 alitaka kumuachia nchi mtu wake ikashindikana.

Habari ya fomu 1 bado ni fupa gumu ndani ya chama. Kuna mchezo mchafu .umeandaliwa. kuhusu hilo Yanukuu maneno haya.
Taja huyo Rais wenu atakayemshinda Samia. Hadi sasa Sàmia anagombea na kivuli Kama enzi za mwalimu.
 
Kweli CCM imeishiwa viongozi. Samia amekuwa Rais kwa bahati mbaya, na ameprove wazi kwamba hawezi kupitia
1. Utekaji na mauaji ya raia
2. DP World
3. Kukithiri kwa rushwa
4. Ngorongoro-Maasai case
5. Kuua demokrasia nchini
6. Kubinafsisha KIA
7. Maisha magumu kwa Watu hasa wa bara,
Lakini bado wanaimba nani kama mama. Kisa wana ruhusa ya kujinufaisha na raslimali za nchi isivyo halali.
Mwaka jana, mtandao wa kimataifa wa waandishi wa habari wa uchunguzi ulishutumu Adani Group kwa kununua hisa zake kupitia makampuni ya nje ya nchi ili kuongeza bei ya hisa zake.

Kundi hilo lilikana madai hayo. Mikataba ya Adani ya ng'ambo mara nyingi imekuwa ikikosolewa.

Wanaharakati nchini Bangladesh wanasema nishati inayotolewa na Adani kupitia mkataba mkuu wa umeme ni ghali sana, ikiiacha Bangladesh na pengo la $500m katika ulipaji wa deni lake

Makundi ya upinzani na wanaharakati wanaoipinga kampuni hiyo wamedai kwamba Adani Group imekuwa ikitumia ushirikiano wake wa karibu na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kupata kandarasi kubwa nchini humo

Lakini Muungano wa Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini Kenya umesema mpango huo utasababisha Wakenya kupoteza kazi huku Adani akileta wafanyakazi wasio Wakenya
 
Huyu Maza arudi kwao. Mimi binafsi simtaki na najua watanganyika wenzangu wengi hawamtaki so hicho alichokula kwasababu ya ujinga wetu na katiba yetu mbovu kinatosha. Arudi kizimkazi au akatawale na kakake huko. Huku No.

Majaliwa baba, nchi Yako hii pambana chukua fomu, gombea.
Yaani huo ujinga wenu msituletee huku, sisi hao akina mama hawawi watawala bali tunaoa na kuweka ndani. Akija huku kizimkazi ni mke wa tatu wa Hafidh.
Full stop.
 
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
THUBUTU! Magufuri alishawapa njia kwa hiyo hatuna namna labda wapatikane akina SARAFINA Tanzania.
 
Hivi hamchikagi kupita Ramli?? Kama CCM ikimpitisha huyu ndo atakua raisi wa nchi hii Kwa miaka mingine mitano.
 
Nani amekwambia CCM sio moja?

Kuna kipindi ambacho CCM imesimama kwa pamoja kama kipindi hiki?

Level ya Uchawa uliopo CCM huioni?

Alafu kwanini unajiita Sexless?
Unaongea usicho kijua ccm ni kwamoto sana na sio kidogo ni sana na ukitaka kupata uhakika wa hilo subiri 2025
 
Back
Top Bottom