Sababu gani zilifanya Jay Jay Okocha asitwae Ballon D' or enzi zake?

Sema saivi wanaangalia zaidi magoal ndio maana mafund wa mpira huwez kuta wanachukua, ingekua kwa miaka ya nyuma mtu kama marcelo angebeba ndoo sijawah ona mtu anaecheza mpira kama marcelo kwa kipnd cha hapa karibuni na madrid kwa sasa team imejengwa kupitia marcelo bila marcelo madrid haipat matokeo au itapata kwa tabu sanaa
 
Kwa mtazamo wangu Gaucho na okocha walikua sawia, style zao zimefanana kiasi flani,na ni wacheza show wazuri sana,na si utendaji kazi..atleast JJ namkubali, alionyesha uanaume wake.....
Unaongea kwa ushabiki sana mkuu ,
Kumpinga ronaldinho kama one of the top 21 century nadhani hata kichaa atakucheka.
 
Kweli tupo pamoja kwenye huu uzi, sema nimeamua kuachana na huu mjadala kwa sababu kila mtu ana mtazamo wake hivyo ni busara kila mtu kubaki na msimamo wake,

Tena vitu vya ajabu kabisa yaani Gaucho awe sawa na Okocha?
Huyo yy hanaga discussion likija suala la messi na ronaldinhi,anaweza akasema kwamba ngasa ni bora kuliko ronaldinho
 
Kweli mkuu
Jamaa anacheza vzr sana kama kiungo mshambuliaj au winger
 
Sasa mbona anashindana na ronaldo Christian ambaye ni wa kawaida kabisa ,Mbona ni wa kawaida hao wote wawili sema tu dunia imeishiwa,ni kama vile ambavyo tumetoka kwa wakina Muhammad Ali ,Joe freezer (the smoking Joe) ,Tyson mike mpaka kubaki na akina mayweather na David hae eti ndio mabondia bora wa sasa, au wakina Stephen cury na Kobe Bryant kama mbadala wa akina Jordan na riper.
Kwangu mm ronaldinho ni mchezaji wa kipekee kwa kizazi hiki haijalishi ballon d'or na FIFA award ngapi kachukua, he was and he is a century man kwa football.
 
Mkuu kwel kabisa yaan huyu Messi huwez kumlinganisha na ishu yoyote ile kwenye soka milele
 
Iniesta ilikua rahisi mno kupata ballon d'Or before the KING Messi kuingia catalunya...wamemdhulumu tu kipindi chake!
Na pia hata kipindi messi yupo hapo ,
2010 alikuwa kwenye peak kuliko messi,alicheza kwa kiwango cha juu kuliko messi kwenye world cup akahitimisha kwa goli lake la fainali,akatwaa euro cup,ucl na la liga ,kote huko alikuwa kwenye peak .figisu figisu kila mahala zipo sio ccm pekee
 
Mess si lolote kwa C.Ronaldo.Angalia Namba anayoicheza na upachikaji wa mabao uyundo itachukua karne na karne kupata mbadala wake.
 
Niukweli usiopingika uwez linganisha kizaz chakina Zizou na cha sasa C.Rinaldo na Mess ingekuwa kizaz cha akina Zizou wala wasingeweza pokezana namna hii ilo wakukataa atakataa lakin ukwel ndo huo em kuwen waz kwakizaz iki nan mtaalam wa kupiga mipira ta fauru ,kona penat na utoaji pasi km Beckhamu??? Km yupo mtajen tumjadili ,kizaz ikimpira umeshuka.
 
Ata kama nizaliwe leo
Sijawahi kuona messi akishindanishwa na hao
Maana level sio zao
Nikuulize kwa sasa ukitoa Messi na Ronaldo nani mwingine kwa sasa unaweza washindanisha na hawa wawili? ??halafu rudi miaka 15 iliyopita angalia list ya wachezaji waliokuwepo na sababu zipi hakuna aliyewah chukua mfululizo hizo ballon d or??ndo utapata majibu narudia Messi na Ronaldo ni wa kawaida sana kwa kizazi cha zamani na ni wakali kwa kizazi hiki cha kwako Asante
 
Mhmm suala la gaucho kukopi vya okocha siafiki kabisa. Huyu gaucho ukitaka kujua kuwa alikuwa hatari angalia documentary take toka utotoni. Ndo mchezaji aliewahi funga goli nyingi sana kwenye mechi moja. Gaucho? Kijana alikuwa na uwezo wa kutupa scadi mahala popote uwanjani na kufunga. Okocha hakuwa na hiyo kitu.
 
sio hiyo tu hata hakuchezea zile timu kubwa na maarufu ulaya.
 
umemsahau devo sukar wa coretia pia george hagi wa romania
 
Huu uzi mzuri sana sema utani mwingi. Zidane=Okocha? Ronaldinho=Messi? Henry=Van persie?

Ila haina noma kama ni utani tu na mimi naongezea hii...

Edibily Lunyamila=Louis Figo.
 
umemsahau devo sukar wa coretia pia george hagi wa romania

George hagi, mtaalam wa mipira iliyokufa, kipindi hicho nchini Romania gari za kifahari zilikuwa hazituhusiwi kwa watu Binafsi, Mtu binafai aliyeruhusiwa kuwa na gari ya Kifahari Mercedes Benz alikuwa ni yeye (George Hagi) pekee,
 
De Lima hajawahi kushinda UCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…