Hili ni tatizo namba moja vijana wengi wa Pwani hawana ushamba na hayo mambo.Tatizo ni ushamba wa mbunye tu
Kwa nini visa vya kuua wapenzi ni wanaume wa bara zaidi kuliko Pwani??Sijaona mkijadili ni Nini kunaweza kuwa kosa la mwanamke hadi kufika kutolewa uhai ..wanaume kama wanaume haijalishi wa Pwani ama bara umeumbwa mwanaume. Kama hutaki sifa hiyo utajiona uko sawa na mwanamke ndo hiyo 50/50 yaani Kuna wanaume wanasaidia wanawake kudai 50/50 kwa wanaume wakati tayari vitabu vitakatifu vimeandika mwanaume atabaki ni kichwa na mkuu katika yote. Sasa ukiona mwingine anakwambia hiyo mamlaka hawana na mwanamke 50/50 jua huyo ni shetani kwenye sura ya mtu na sie wanaume kutoka bara ndo hapo tunapooataka. Wanaume wa Pwani wanaodeka kama wake zao na kupiga domo kama wake zao wako soft kama bamia haya mambo hawayawezi. Na ndo maana wanaungana sana na wanawake kuwasema wanaume wenzio, tayari Hawa kwa hulka ni wanawake tu kasoro maziwa vifuani ..wanapakatwa wao, wanatoa mitandao ya simu wao na wanapiga deki majumba ..ndo wanaoitwa wanaume hao.
Wanawake wengi wamezoeshwa matunzo na kugharamiwa / kuhudumia kutunzwa/ kuvishwa kulishwa kuhongwaSijaona mkijadili ni Nini kunaweza kuwa kosa la mwanamke hadi kufika kutolewa uhai ..wanaume kama wanaume haijalishi wa Pwani ama bara umeumbwa mwanaume. Kama hutaki sifa hiyo utajiona uko sawa na mwanamke ndo hiyo 50/50 yaani Kuna wanaume wanasaidia wanawake kudai 50/50 kwa wanaume wakati tayari vitabu vitakatifu vimeandika mwanaume atabaki ni kichwa na mkuu katika yote. Sasa ukiona mwingine anakwambia hiyo mamlaka hawana na mwanamke 50/50 jua huyo ni shetani kwenye sura ya mtu na sie wanaume kutoka bara ndo hapo tunapooataka. Wanaume wa Pwani wanaodeka kama wake zao na kupiga domo kama wake zao wako soft kama bamia haya mambo hawayawezi. Na ndo maana wanaungana sana na wanawake kuwasema wanaume wenzio, tayari Hawa kwa hulka ni wanawake tu kasoro maziwa vifuani ..wanapakatwa wao, wanatoa mitandao ya simu wao na wanapiga deki majumba ..ndo wanaoitwa wanaume hao.
Nimejaribu kuelezea kwamba, wanaume wa bara hatuna 50/50. Na sie mwanamke tunamtreat kama tulivyoambiwa katika vitabu vitakatifu kwamba mwanamke atakuwa chini yangu na anatakiwa kuniheshimu. Sasa hauwezi ukaolewa kwangu tena alafu ukataka kunipanda kichwani wakati mie ndie nimekuoa wewe wa Pwani (mwanamke), ikifikia hatua hiyo maana yake umevuka amri ya uumbaji ya kuniheshimu mie mmeo na umenishusha. Pili, wanaume wa bara sie tuna ndoa za maisha. Tunaoa si Leo unaacha pale kesho uko kule kama Pwani ambao mme anao hapa, anazaa na yule na anaoa kule kama wanawake wao walivyo kazaa na mudy, kazaa na chid, kazaa kwa dulla na kazaa na ommy. Hayo ni mapenzi ya Pwani na wanaume Wala hawana shida, yaani mwanamke kashazalishwa, kashaolewa na kuachwa mara Tano eti na wewe unatangaza kuoa ..hivi huyo mwanamke ama danguro? Sie Hilo bara halipo, nimeoa nimemaliza na ukileta u-pwani umejichanganya maana sie hatuna kuoa Kila mwezi wa futari. Ni kwa sababu tuna mambo mengi zaidi ya kupanga na kufanya zaidi ya kuoa Kila wiki kama Pwani.Kwa nini visa vya kuua wapenzi ni wanaume wa bara zaidi kuliko Pwani??
mambo mengine muda bado, kama hivyo vitabu vilivyochelewa kuja, na hata haya mambo mengine nayo yapo taratibuNimejaribu kuelezea kwamba, wanaume wa bara hatuna 50/50. Na sie mwanamke tunamtreat kama tulivyoambiwa katika vitabu vitakatifu kwamba mwanamke atakuwa chini yangu na anatakiwa kuniheshimu. Sasa hauwezi ukaolewa kwangu tena alafu ukataka kunipanda kichwani wakati mie ndie nimekuoa wewe wa Pwani (mwanamke), ikifikia hatua hiyo maana yake umevuka amri ya uumbaji ya kuniheshimu mie mmeo na umenishusha. Pili, wanaume wa bara sie tuna ndoa za maisha. Tunaoa si Leo unaacha pale kesho uko kule kama Pwani ambao mme anao hapa, anazaa na yule na anaoa kule kama wanawake wao walivyo kazaa na mudy, kazaa na chid, kazaa kwa dulla na kazaa na ommy. Hayo ni mapenzi ya Pwani na wanaume Wala hawana shida, yaani mwanamke kashazalishwa, kashaolewa na kuachwa mara Tano eti na wewe unatangaza kuoa ..hivi huyo mwanamke ama danguro? Sie Hilo bara halipo, nimeoa nimemaliza na ukileta u-pwani umejichanganya maana sie hatuna kuoa Kila mwezi wa futari. Ni kwa sababu tuna mambo mengi zaidi ya kupanga na kufanya zaidi ya kuoa Kila wiki kama Pwani.
Watu wa Pwani kwenye mapenzi wanaishi kama wazungu Ulaya na Marekani, sio kama nyie watu wa bara mnaoishi kama sokwe au cavemen kulazimisha mapenzi na mbunye😁.Nimejaribu kuelezea kwamba, wanaume wa bara hatuna 50/50. Na sie mwanamke tunamtreat kama tulivyoambiwa katika vitabu vitakatifu kwamba mwanamke atakuwa chini yangu na anatakiwa kuniheshimu. Sasa hauwezi ukaolewa kwangu tena alafu ukataka kunipanda kichwani wakati mie ndie nimekuoa wewe wa Pwani (mwanamke), ikifikia hatua hiyo maana yake umevuka amri ya uumbaji ya kuniheshimu mie mmeo na umenishusha. Pili, wanaume wa bara sie tuna ndoa za maisha. Tunaoa si Leo unaacha pale kesho uko kule kama Pwani ambao mme anao hapa, anazaa na yule na anaoa kule kama wanawake wao walivyo kazaa na mudy, kazaa na chid, kazaa kwa dulla na kazaa na ommy. Hayo ni mapenzi ya Pwani na wanaume Wala hawana shida, yaani mwanamke kashazalishwa, kashaolewa na kuachwa mara Tano eti na wewe unatangaza kuoa ..hivi huyo mwanamke ama danguro? Sie Hilo bara halipo, nimeoa nimemaliza na ukileta u-pwani umejichanganya maana sie hatuna kuoa Kila mwezi wa futari. Ni kwa sababu tuna mambo mengi zaidi ya kupanga na kufanya zaidi ya kuoa Kila wiki kama Pwani.