Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

Magufuli naye alikuwa kiongozi? Usichanganye magarasha ya ajabu na baba wa Taifa letu ambaye yuko ktk mchakato wa kutangazwa mtakatifu. Hivi unapataje ujasiri wa kumlinganisha Nyerere na kitu cha ajabu? Huna akili kiasi hicho. Nyerere angekuwa km Magufuli hii nchi leo ingekuwa ktk vipandee vipande, yule hakustahili kuwa kiongozi mkuu wa nchi, alikuwa kaburu km makaburu wa Afrika Kusini tofauti ni rangi. We kweli mwendawazimu unamlingalingashaje mtu aliyeshindwa kuongoza nchi miaka mitano na baba wa Taifa aliyeongoza nchi miaka 24 kwa mafanikio makubwa sana. Nani anamfahamu Magu zaidi ya Rwanda, Uganda na pengine Kenya. Nyerere anajulikana dunia nzima.
 
Hizi ni propaganda zisizo na ushahidi
Kwamba tulikuwa hatuoni wale watu wanaotekwa na maiti kuwekwa kwenye viroba ama? Ushahidi utauonea wapi, wakati wanaopaswa kuwpewa ushahidi ni hao hao waliotumika kuumiza watu?
 
Nakupongeza wewe na kuona kuwa una mawazo mazuri, Nyerere na Magufuli ni Marais Bora kuwahi kutokea nchi hii.
 
Ukifuatilia kazi aliyofanya JKN Tanganyika yote mpaka Africa, cjajua kwann anaunganishwa na JPM! Je JPM amefanya ukomboz au mamb yanayoshahiana na ya Mwalimu? Ni vzr legacy ya JKN ibaki yeye kama yeye na JPM awekwe yeye kama yeye. NB; JKN was Godzilla, that's King Kong in Tanzania and Africa!!
 
Kwamba tulikuwa hatuoni wale watu wanaotekwa na maiti kuwekwa kwenye viroba ama? Ushahidi utauonea wapi, wakati wanaopaswa kuwpewa ushahidi ni hao hao waliotumika kuumiza watu?
Ndio mbona juzi tu watu wameuawa mbona hamlalamiki serikali watu kuuawa ila kipindi cha Magufuli mtu akiokotwa kafa lawama zinaenda kwa Magufuli hamuoni mnaeneza propaganda kwa vile mnachuki nae, visasi nae alivyowatumbua vyeti feki, walamba asali, majizi wengine timu nyumbu mlivyoshindwa uchaguzi mlitokea kumchukia sana
 
Wengi sana, Ben Saanane, Mawazo, Azory Gwanda, Alimkosakosa Tundu Lissu, list inaendelea.
Kwanza hamna ushahidi wa Magufuli anahusika na vifo vya hawa watu halafu mbona sioni malalamiko ya mauaji ya dokta Mvungi, David Mwangosi, amran kombe, chacha wangwe kuuawa kwa wazee na police kibiti kwa viongozi wengine ila kwa hawa mmeshika sana bango ndio watanzania pekee au kwa vile mnachuki na maslahi binafsi na Magufuli alivyogusa maslahi yenu binafsi ya kuwatumbua ndio mmepata kichaka cha kumchafua kama kina azori Agwanda, Ben sanane
 
Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…