Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

Ndo mana lilikufa kifo kibaya.
Sasa hv mmebaki misukule yake humu mnatusumbua kwa kukosa wa kuwalisha
 
Utekaji
Mauaji,
Kukosekana uhuru wa mawazo mbadala vilinifanya nione Magufuli alikuwa sio mwenye moyo wa kitanzania kabisa.....!!
 
Dhulma aliyotufanya ndo inayotufanya tulichukie sana jitu lile.
 
Ni hivi, dhalimu ndio alikuwa anaagiza uhayawani ule, hutaki jinyonge.
 
Wewe unajijua utakufaje? Au wewe unajiona mwema sana huna dhambi
Dhambi zangu haziwezi kufikia za shetani lile.
Yule alikuwa ni kiumbe wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tz. Na hapana shaka yule hakuwa Mtz. Sisi hatuna roho mbaya namna ile
 
Dhambi zangu haziwezi kufikia za shetani lile.
Yule alikuwa ni kiumbe wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tz. Na hapana shaka yule hakuwa Mtz. Sisi hatuna roho mbaya namna ile
Embu niambie dhambi kubwa alizotenda mpaka umwite Shetani na kipimo kipi cha dhambi ulivyotumia kupima wingi wa dhambi zake
 
Kama humjui Julius Kambarage Nyerere kaa kimya usijidhalilishe. Kamwe Julius Nyerere Baba wa Taifa asilinganishwe na vitu vya hovyo hovyo.

Miaka 5 ya Magufuli amejenga runway ya ndege za kimataifa kijijini kwake Chato, amehamisha wanyama toka Serengeti kupeleka kwenye pori la akiba lililopo karibu na Chato. Akjenga hospitali ya Rufaa na Mahakama yenye hadhi ya kimkoa kijijini kwake. Nyerere miaka 25 aliiangalia Tanzania kama nchi nzima na hakuwa na upendeleo na kwao na ndiyo maana hadi anakufa Butiama ilikuwa haina hata babara ya lami inayoiunganisha na Musoma. Kumfananisha huyu fisadi wa Tsh 2.4 Trillion kwa miaka 5 na Nyerere ni kumtukana Baba wa Taifa
 
Magufuli alimuua nani naomba ushahidi pasipo unafiki na mihemko
Aliua watu zaidi ya 300 huko MKIRU, kuna wale wa kwenye viroba waliokuwa wakitupwa baharini. Aliua Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na alimshambulia kwa risasi Lissu kupitia kundi la wasiojulikana.

Aliwateka akina Mohamed Dewji, Roma Mkatoliki na Zakaria Trans. Ila Zakaria akakiwasha akawajeruhi watu wasiojulikana
 
Ujinga ni mzigo ,kwa hiyo ulivyoona ni vya Chato tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…