Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

Marehemu alikuwa na roho ngumu sn asee
 
Davide Mwangosi, na dokta Mvungi na wale waandamanaji Arusha waliouawa sijaona mkisema rais aliyepita ni muuaji ila kwa Magufuli mmeshika bango
Sasa hivi tunafanya siasa kwa amani dikteta mwizi aliyepora rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake amefukiwa Chato
 
Mpaka watu kamq kina Zito tuwaponde mawe ndipo tutaweza kuinuka.
 
Ujinga ni mzigo ,kwa hiyo ulivyoona ni vya Chato tu ?
Mjinga haijui kuwa ni mjinga japo wengine wote wanamuona ni MJINGA. Huyo pimbi wenu asifananishwe na Nyerere kamwe. Ni UHAYAWANI
 
Maneno mazito !!
 
Sasa hivi tunafanya siasa kwa amani dikteta mwizi aliyepora rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake amefukiwa Chato
Hizo siasa zinamsaidia nini mwananchi anekabiliwa na umasikini, mfumuko wa bei za bidhaa, ukosefu wa ajira,tozo na mikodi lukuku huku mafisadi wakiendelea kuchezea kodi za wananchi na wanasiasa matapeli wakihongwa na mafisadi kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya
 
Mtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe
 
Kijana uwe unaandika vitu ambavyo una ushahidi sio maneno unayo sikia tu
 
Reactions: RNA
Sasa kiongozi Kama mwalimu Nyerere wa kazi gani!?
 
Pumbavu kuchukua mabilioni kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake siyo wizi na matumizi mabaya ya rasilimali? Zisingeweza kutumika kwenye vipaumbele? Jibu ni sahihi kutumia rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge?

Wizi wa plea bargain wakaweka uchina hela walizopora wananchi yote hayo yamesababisha hali mbaya kiuchumi tukawekewa kodi lukuki.

Vipi wasiojulikana wako wapi siku hizi? Hatutekwi ovyo ukimpinga dikteta Magufuli.

Ila kutetea mpumbavu dikteta lazima uwe mpumbavu kuuzidi kuuzidi upumbavu wenyewe
 
Hatuhitaji Nyerere na Magufuli kama walivyokuwa, tunawahitaji wa kisasa, wengi, walioboreka zaidi kwa kuondolewa mapungufu au maovu waliyokuwa nayo, yakaachwa mazuri tu na kuongeza mazuri zaidi kwao.
Hata hivyo, kuwaza Nyerere Nyerere, Magufuli Magufuli ni uthibitisho wa umasikini wa fikra na kumtegemea mwanadamu mwingine.
Taifa lazima lisonge mbele, lina watu wengi, raia wa kawaida na viongozi wenye akili nzuri na wanaoweza kufanya makubwa. Ni kwa bahati tu wachache hupata nafasi za madaraka hivyo tusiwaabudu.
Mamilioni ya raia ambao pengine wangefanya bora zaidi hawajapata nafasi za kuongoza.
 
mafisadi wakiendelea kuchezea kodi za wananchi na wanasiasa matapeli wakihongwa na mafisadi kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya
Mchafu hachafuliwi. Magufuli alijichafua mwenyewe hivyo kilichopo ni wapambe wake na wanufaika wake ndiyo wanataka kumsafisha.

Unaweza kumchafua vipi mtu aliyekuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA kinateka watu, kinatesa na kinaua? Unaweza kumchafua vipi mtu ametuma kikundi kiikamuue Tundu Lissu akiwa bungeni?

Unaweza kumchafua vipi mtu aliyekikri mwenyewe kuwa ni kichaa?

Unaweza kumchafua vipi mtu anasema siwezi kuleta maendeleo hapa kwa vile mlichagua mpinzani?

Muache aendelee kuoza huko aliko, tuko mikono salama na SSH
 
Hizo pesa ziliwekwa china zisharudi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…