Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mkapa alifanya kazi kubwa snNaomba na Mkapa umuweke kwenye list yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa alifanya kazi kubwa snNaomba na Mkapa umuweke kwenye list yako.
Marehemu alikuwa na roho ngumu sn aseeAliua watu zaidi ya 300 huko MKIRU, kuna wale wa kwenye viroba waliokuwa wakitupwa baharini. Aliua Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na alimshambulia kwa risasi Lissu kupitia kundi la wasiojulikana.
Aliwateka akina Mohamed Dewji, Roma Mkatoliki na Zakaria Trans. Ila Zakaria akakiwasha akawajeruhi watu wasiojulikana
Sasa hivi tunafanya siasa kwa amani dikteta mwizi aliyepora rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake amefukiwa ChatoDavide Mwangosi, na dokta Mvungi na wale waandamanaji Arusha waliouawa sijaona mkisema rais aliyepita ni muuaji ila kwa Magufuli mmeshika bango
Mpaka watu kamq kina Zito tuwaponde mawe ndipo tutaweza kuinuka.Habari JF,
Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu.
Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini Je, ni rahisi kuwapata ? Jibu hapana na zifuatazo ni sababu kwanini ni Ngumu kuwapata -
1. Demokrasia: Ni mfumo wa kuangalia mawazo ya wengi na kupuuza wachache huu mfumo hautufai Afrika kabisa sababu unatupa viongozi wasiofaa. Pili unapuuza mawazo ya wachache ambayo muda mwingine ni msingi mwisho ni chanzo kikubwa cha migogoro na vita lakini kikubwa zaidi maamuzi mengi sana huwa yanachukua muda mrefu sana sababu inahitajika vikao vingi vya makubaliano. Hivyo AFRIKA INAHITAJI DEMOKSIA INAYOENDANA NA TAMADUNI NA MAZINGIRA YETU.
2. Nguvu ya Mataifa ya nje: Umewahi jiuliza hivi wazungu au mataifa ya nje wanatupenda sana Africa au ni watu wema sana kiasi cha kuacha kusaidia wananchi wao na kutoa misaada na mikopo? La hasha wanafanya hivyo kwa maslahi yao hivyo ni lazima waweke mkono kuhakikisha mtu anapatikina analinda maslahi yao.
3. Ujinga bado mwingi sana: Ujinga ni adui mkubwa sana. Tanzania unaweza fanyika ufisadi mkubwa sana lakini watu wakawa kimya wanaendelea na maisha lakini ukizima data au ukaifungia whatsapp au Twitter basi utawanyima raha sana. Kwa kifupi ni bora uwape uhuru wa kutukanana mitandaoni kuliko maendeleo, sasa watu kama hawa ni ngumu sana kukupa kiongozi bora hasa kwa njia ya demokrasia.
Hivyo tupambane na ujinga.
Je, unadhani kuna siku tutapata watu wazalendo na watakao pigana kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu? au tayari tunao tuendelee kuwaamini?
Ujinga ni kovuWewe na mtoa maada mlikuwa walamba asali enzi za magufuli
Ujinga ulionao utakutesa sanaUjinga mtupu
Mjinga haijui kuwa ni mjinga japo wengine wote wanamuona ni MJINGA. Huyo pimbi wenu asifananishwe na Nyerere kamwe. Ni UHAYAWANIUjinga ni mzigo ,kwa hiyo ulivyoona ni vya Chato tu ?
Maneno mazito !!Habari JF,
Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu.
Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini Je, ni rahisi kuwapata ? Jibu hapana na zifuatazo ni sababu kwanini ni Ngumu kuwapata -
1. Demokrasia: Ni mfumo wa kuangalia mawazo ya wengi na kupuuza wachache huu mfumo hautufai Afrika kabisa sababu unatupa viongozi wasiofaa. Pili unapuuza mawazo ya wachache ambayo muda mwingine ni msingi mwisho ni chanzo kikubwa cha migogoro na vita lakini kikubwa zaidi maamuzi mengi sana huwa yanachukua muda mrefu sana sababu inahitajika vikao vingi vya makubaliano. Hivyo AFRIKA INAHITAJI DEMOKSIA INAYOENDANA NA TAMADUNI NA MAZINGIRA YETU.
2. Nguvu ya Mataifa ya nje: Umewahi jiuliza hivi wazungu au mataifa ya nje wanatupenda sana Africa au ni watu wema sana kiasi cha kuacha kusaidia wananchi wao na kutoa misaada na mikopo? La hasha wanafanya hivyo kwa maslahi yao hivyo ni lazima waweke mkono kuhakikisha mtu anapatikina analinda maslahi yao.
3. Ujinga bado mwingi sana: Ujinga ni adui mkubwa sana. Tanzania unaweza fanyika ufisadi mkubwa sana lakini watu wakawa kimya wanaendelea na maisha lakini ukizima data au ukaifungia whatsapp au Twitter basi utawanyima raha sana. Kwa kifupi ni bora uwape uhuru wa kutukanana mitandaoni kuliko maendeleo, sasa watu kama hawa ni ngumu sana kukupa kiongozi bora hasa kwa njia ya demokrasia.
Hivyo tupambane na ujinga.
Je, unadhani kuna siku tutapata watu wazalendo na watakao pigana kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu? au tayari tunao tuendelee kuwaamini?
Hizo siasa zinamsaidia nini mwananchi anekabiliwa na umasikini, mfumuko wa bei za bidhaa, ukosefu wa ajira,tozo na mikodi lukuku huku mafisadi wakiendelea kuchezea kodi za wananchi na wanasiasa matapeli wakihongwa na mafisadi kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbayaSasa hivi tunafanya siasa kwa amani dikteta mwizi aliyepora rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake amefukiwa Chato
Mtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzweHabari JF,
Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu.
Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini Je, ni rahisi kuwapata ? Jibu hapana na zifuatazo ni sababu kwanini ni Ngumu kuwapata -
1. Demokrasia: Ni mfumo wa kuangalia mawazo ya wengi na kupuuza wachache huu mfumo hautufai Afrika kabisa sababu unatupa viongozi wasiofaa. Pili unapuuza mawazo ya wachache ambayo muda mwingine ni msingi mwisho ni chanzo kikubwa cha migogoro na vita lakini kikubwa zaidi maamuzi mengi sana huwa yanachukua muda mrefu sana sababu inahitajika vikao vingi vya makubaliano. Hivyo AFRIKA INAHITAJI DEMOKSIA INAYOENDANA NA TAMADUNI NA MAZINGIRA YETU.
2. Nguvu ya Mataifa ya nje: Umewahi jiuliza hivi wazungu au mataifa ya nje wanatupenda sana Africa au ni watu wema sana kiasi cha kuacha kusaidia wananchi wao na kutoa misaada na mikopo? La hasha wanafanya hivyo kwa maslahi yao hivyo ni lazima waweke mkono kuhakikisha mtu anapatikina analinda maslahi yao.
3. Ujinga bado mwingi sana: Ujinga ni adui mkubwa sana. Tanzania unaweza fanyika ufisadi mkubwa sana lakini watu wakawa kimya wanaendelea na maisha lakini ukizima data au ukaifungia whatsapp au Twitter basi utawanyima raha sana. Kwa kifupi ni bora uwape uhuru wa kutukanana mitandaoni kuliko maendeleo, sasa watu kama hawa ni ngumu sana kukupa kiongozi bora hasa kwa njia ya demokrasia.
Hivyo tupambane na ujinga.
Je, unadhani kuna siku tutapata watu wazalendo na watakao pigana kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu? au tayari tunao tuendelee kuwaamini?
Kama humjui Julius Kambarage Nyerere kaa kimya usijidhalilishe. Kamwe Julius Nyerere Baba wa Taifa asilinganishwe na vitu vya hovyo hovyo.
Miaka 5 ya Magufuli amejenga runway ya ndege za kimataifa kijijini kwake Chato, amehamisha wanyama toka Serengeti kupeleka kwenye pori la akiba lililopo karibu na Chato. Akjenga hospitali ya Rufaa na Mahakama yenye hadhi ya kimkoa kijijini kwake. Nyerere miaka 25 aliiangalia Tanzania kama nchi nzima na hakuwa na upendeleo na kwao na ndiyo maana hadi anakufa Butiama ilikuwa haina hata babara ya lami inayoiunganisha na Musoma. Kumfananisha huyu fisadi wa Tsh 2.4 Trillion kwa miaka 5 na Nyerere ni kumtukana Baba wa Taifa
Uko sahihiMtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe
kwani wewe maana ya propaganda unaielewa vizuri.??we ulikuwa umezimia kwanza wakati yote hayo yanafanyika? We ni poyoyo flani uko nyumbu hunaga unachoelewa.
Sasa kiongozi Kama mwalimu Nyerere wa kazi gani!?Habari JF,
Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu.
Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini Je, ni rahisi kuwapata ? Jibu hapana na zifuatazo ni sababu kwanini ni Ngumu kuwapata -
1. Demokrasia: Ni mfumo wa kuangalia mawazo ya wengi na kupuuza wachache huu mfumo hautufai Afrika kabisa sababu unatupa viongozi wasiofaa. Pili unapuuza mawazo ya wachache ambayo muda mwingine ni msingi mwisho ni chanzo kikubwa cha migogoro na vita lakini kikubwa zaidi maamuzi mengi sana huwa yanachukua muda mrefu sana sababu inahitajika vikao vingi vya makubaliano. Hivyo AFRIKA INAHITAJI DEMOKSIA INAYOENDANA NA TAMADUNI NA MAZINGIRA YETU.
2. Nguvu ya Mataifa ya nje: Umewahi jiuliza hivi wazungu au mataifa ya nje wanatupenda sana Africa au ni watu wema sana kiasi cha kuacha kusaidia wananchi wao na kutoa misaada na mikopo? La hasha wanafanya hivyo kwa maslahi yao hivyo ni lazima waweke mkono kuhakikisha mtu anapatikina analinda maslahi yao.
3. Ujinga bado mwingi sana: Ujinga ni adui mkubwa sana. Tanzania unaweza fanyika ufisadi mkubwa sana lakini watu wakawa kimya wanaendelea na maisha lakini ukizima data au ukaifungia whatsapp au Twitter basi utawanyima raha sana. Kwa kifupi ni bora uwape uhuru wa kutukanana mitandaoni kuliko maendeleo, sasa watu kama hawa ni ngumu sana kukupa kiongozi bora hasa kwa njia ya demokrasia.
Hivyo tupambane na ujinga.
Je, unadhani kuna siku tutapata watu wazalendo na watakao pigana kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu? au tayari tunao tuendelee kuwaamini?
Pumbavu kuchukua mabilioni kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake siyo wizi na matumizi mabaya ya rasilimali? Zisingeweza kutumika kwenye vipaumbele? Jibu ni sahihi kutumia rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge?Hizo siasa zinamsaidia nini mwananchi anekabiliwa na umasikini, mfumuko wa bei za bidhaa, ukosefu wa ajira,tozo na mikodi lukuku huku mafisadi wakiendelea kuchezea kodi za wananchi na wanasiasa matapeli wakihongwa na mafisadi kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya
Mchafu hachafuliwi. Magufuli alijichafua mwenyewe hivyo kilichopo ni wapambe wake na wanufaika wake ndiyo wanataka kumsafisha.mafisadi wakiendelea kuchezea kodi za wananchi na wanasiasa matapeli wakihongwa na mafisadi kumchafua Magufuli kumuonesha alikuwa mbaya
Kwa taarifa yako nilikuwa JKT wakati wa Vita vya Kagera, koma kuniita kijana. Ukitaka ushahidi twende kwenye chombo kinapokea ushahidiKijana uwe unaandika vitu ambavyo una ushahidi sio maneno unayo sikia tu
Hizo pesa ziliwekwa china zisharudi ?Pumbavu kuchukua mabilioni kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake siyo wizi na matumizi mabaya ya rasilimali? Zisingeweza kutumika kwenye vipaumbele? Jibu ni sahihi kutumia rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge?
Wizi wa plea bargain wakaweka uchina hela walizopora wananchi yote hayo yamesababisha hali mbaya kiuchumi tukawekewa kodi lukuki.
Vipi wasiojulikana wako wapi siku hizi? Hatutekwi ovyo ukimpinga dikteta Magufuli.
Ila kutetea mpumbavu dikteta lazima uwe mpumbavu kuuzidi kuuzidi upumbavu wenyewe