Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Inatosha kujuwa kuwa Magufuli alitengeneza kutengo cha Plea Bargain ili kunyang'anya watu fedha na kuzificha China. Suala la kurudi linategemea na aliyezipokea alikuwa na makubaliano gani na wawekaji.Hizo pesa ziliwekwa china zisharudi ?
Hata fedha alizoficha Sani Abacha kwenye mabenki ya Ulaya na America siyo zote zilizorudi.