Sababu ipi ilikufanya kujiunga JamiiForums? Mimi ni kikao cha Mwitongo, nikiwa na Makongoro na Mkapa December 2014!

Mimi niliifahamu JamiiForums kipindi cha balehe, mwaka 2013 nikiwa kidato cha kwanza. Ukweli ni kwamba nilikuwa naingia zaidi kutafuta stori za mapenzi na mambo ya kugegedana. Tangu wakati huo hadi leo, nimeshawahi kumiliki akaunti kadhaa tofauti. [emoji1]
 
Hapana Mako na katto wote walikuwa kwenye rada soma hapa kwa kina rudia rudia rudia nasema

Britanicca
2009 nilitabiri Rais ajaye atakuwa JPM...@ Paschal analijua hili....
 
Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
Katika harakati za kutafuta majina ya waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu 2010 ndio nikaiona JF kwenye Google
 
Mimi niliifahamu JamiiForums kipindi cha balehe, mwaka 2013 nikiwa kidato cha kwanza. Ukweli ni kwamba nilikuwa naingia zaidi kutafuta stori za mapenzi na mambo ya kugegedana. Tangu wakati huo hadi leo, nimeshawahi kumiliki akaunti kadhaa tofauti. [emoji1]
Duhh kumbe humu tupo na wadogo zetu kabisa🙆🏽‍♀️
 
Acheni kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.Najua mti wenye matunda ndio hupigwa Mawe. Hizo hila zenu hazitafanikiwa hata kidogo. Wapo aina yako waliojaribu kumchafua sana tangia akiwa waziri wa fedha lakini waliishia kuvuna Aibu tu Maana Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anaaminika , kukubalika na kuungwa mkono na Mamilioni ya watanzania ambao wote wanatambua uadilifu, uzalendo na uchapakazi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba
Jf kutoka Gt Hadi wapumbavu kama Hawa
 
Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
Mi nilijiunga 2014 ili kumpambania Mwamba Magufuli maana niliishajja ndiye ajaye. Ila kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu bila kuwa member.
 
Historia inatukumbusha kuwa Waziri Mkuu kamwe hawezi kuwa Rais.
Katika utekelezaji wa majukumu yakehuwa amekanyaga vidole vya watu wengi, tena wakubwa wenzake.
Hao wenzake ndio watamdhibiti kusogelea kiti cha Urais.
 
nilijiunga jf baada ya kugundua unaomilikiwa na ulianzishwa mtanzania, Maxence melo
pia naomba kuuliza, kule kenya na uganda, kuna mtandao (jukwaa) linalofanana na jamii forum?
Kuna mwaka Anko Magu alipiga pin jf, wengi walikimbilia Kenya Talk, haina tofauti sana na hii
 
Historia inatukumbusha kuwa Waziri Mkuu kamwe hawezi kuwa Rais.
Katika utekelezaji wa majukumu yakehuwa amekanyaga vidole vya watu wengi, tena wakubwa wenzake.
Hao wenzake ndio watamdhibiti kusogelea kiti cha Urais.
There is always the first time for everything, point ya kuwa Waziri Mkuu hajawahi kuwa rais(ukitoa Nyerere of course) haimaanishi kuwa Waziri Mkuu hawezi kuwa rais.
Tatizo au kinachomchafua Mwigulu ni uchafu wa matendo yake yeye mwenyewe, ufisadi wake, maneno machafu ya kukejeli wananchi(alishawahi kuwaambia Watanzania kwamba wahamie Burundi), miradi yake ambayo chanzo cha hizo investments inatiliwa mashaka nk.
 
Mwigulu a.k.a Esther, hawezi kamwe kuwa Rais, hata akivaa kofia rangi za taifa, akilalia shula bendera ya taifa au shati la bendera ya Taifa.
Kwa kuanzia arudishe Road Fund aliyoiondoa , ili waitafune.
 
Back
Top Bottom