Mahii nimekumic sanaa 😘😘😘2015...
Kuna Changamoto nilikuwa nayo..kuingia Google nitafute suluhisho...
Ikanipeleka JF na kunilazimu niwe member ili niweze kusoma kilichoandikwa...Hadi sasa nipo hapa..
Duh...!, kumbe ni mimi nimekuleta jf!, ungenitafuta na kunijulisha, enzi hizo nilikuwa mlezi wa wana, huwezi jua...Nilikuwa mwaka wa kwanza, profesa wangu mmoja muhindi alikuwa anapenda kuniita chimbo ananifundisha kuhusu mambo ya imani yao, Chakra, jicho la tatu na mengine kibao.
Siku moja nikaingia google na kisimu changu ki Huwawei, nikagoogle Jicho la la tatu, link ikanileta JF, uzi wa Pasco kama sikosei alikuwa anazungumzia hayo mambo, i was soooo invested. Nikafungua ID…
12 years and counting….
Alikuwa na Forum yake iliitwa "Wanabidii Group" huyu jamaa alikuwa na mchango mkubwa sn wa mimi kuijua Internet tangu 2008..Niliingizwa na kijana mahiri sasa ni marehemu jina SHY (Yona Maro) alijiondoa duniani baada ya kujua mke wake ambaye alimuamini sana na huyo mke kwenda Ulaya kusoma aliporudi akahamishiwa mkoa wa Nyanda za Juu Kusini huko akawa anamsaliti mume wake marehemu SHY kwa kutembea na boss wake.
SHY pamoja na umahiri wake kwenye mambo yake
Haha HatariNiko hapa tangu 2012 totoz za humu zikaniponza nikaikimbia ID yangu. Kuna binti mmoja nilikutana nae mig33 enzi hizo yeye ndio alinifanya nivutiwe kuja JF.
Upo mremboKipindi nipo first year roommate mwenzangu alikuwa third year akawa anapenda kutusimulia stori za MMU anatusomea mikasa mbali mbali. Siku moja nikamuuliza anaitoa wapi akanitajia Jamii Forums na nikaidownload siku hiyo hiyo sijajutia mpaka leo.
Kwa jinsi yule dada alivyokuwa anaipenda JF huwa natamani sana ningeijua ID yake mwalimu yule.
Huu ubora umepotea JF,sio Ile ya enzi zetuJf flani tishio
Watu walikuwa wanavujisha siri humu kuanzia siasani hadi kwa celebrities. Ila leo hii jf inategemea social media kupata cha kujadili.
Hakuna taarifa exclusive ama unique advantage
Kiuhalisia kuna ile ladha imepotea ila bado tupo kwa sababu ndio tunaipenda na sometimes kuna mijadala solid
sio kwamba jf ya sasa haina mvuto kaka, wewe kubali umri ushaenda huo. genz akiingia humu anaona mambo yote yapo kwenye mstari.2013 nilikuwa nafwatilia bila kujiunga members kama Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Chahali Mwanadiwani Pascal Mayalla enzi hizo Pasco wa Jf Hija Madava and etc makala zao zilikuwa moto haswa zilinivuta kujiunga ila Jf ya Sasa haina mvuto kiiiivuo