Sababu ipi ilikufanya kujiunga JamiiForums? Mimi ni kikao cha Mwitongo, nikiwa na Makongoro na Mkapa December 2014!

Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
Mimi sikumbuki sababu ila nilikuwa naperuzi jamii forums bila kujua maana nina archives za baadhi ya webpages nilisave tangia 2008 kumbe kuja kujua baadae ilikuwa JF pages ila kwa wakati huo sijajiunga mpaka 2010 ila sijui kitu gani kilinifanya nijiunge.
 
Acheni kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.Najua mti wenye matunda ndio hupigwa Mawe. Hizo hila zenu hazitafanikiwa hata kidogo. Wapo aina yako waliojaribu kumchafua sana tangia akiwa waziri wa fedha lakini waliishia kuvuna Aibu tu Maana Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anaaminika , kukubalika na kuungwa mkono na Mamilioni ya watanzania ambao wote wanatambua uadilifu, uzalendo na uchapakazi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba
Kusema kwamba aliwandikia jina lake kwenye majabali yote nchini hapo 2005 ni kumchafua mwigulu?
Kwamba mwigulu anapokea rushwa cash kwenye masandarusi ni kumchafua?
Kwamba mwigulu ndiyo mmiliki wa mabasi ya ESTER ni kumchafua
Peleka ujinga wako Lumumba huko
 
Binafs mim tangu nikiwa primary nilikiwa na changamoto nikisearch google majibu mengi yalikuja na jamii forum ikiwemo, na nilijikuta naanza kusoma na maoni na nilifurahia kusoma maoni ya member weny upeo mkubwa walivokua wakibishana kwa hoja nzuri bila hasira na wapo smart.

Mwaka jana 2025 nikaamua nijiunge lasimi JF.
 
Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
Mkuu britanica najaribu kutafuta jina ya yule jamaa enz za magufuli aliuwawa na kukuta mwili wake umening'inizwa na jezi ya Chelsea alikuwa anaitwa lwijabe ama linatamkwaje. Msaada nataka kuanzisha uzi kumhusu.
 
Acheni kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.Najua mti wenye matunda ndio hupigwa Mawe. Hizo hila zenu hazitafanikiwa hata kidogo. Wapo aina yako waliojaribu kumchafua sana tangia akiwa waziri wa fedha lakini waliishia kuvuna Aibu tu Maana Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anaaminika , kukubalika na kuungwa mkono na Mamilioni ya watanzania ambao wote wanatambua uadilifu, uzalendo na uchapakazi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba
wewe jamaa da unajipendekeza sanaa
 
Tarehe 11/12/2014

Pale Mwitongo walikuwapo watu kwa kikao cha Siri hasa Mzee Mkapa ndo alishnikiza kikao kufanyika, nakumbuka tulikuwa watu saba!

Kulikuwa na Threat ndani ya CCM yaan Lowassa, na sasa Wakaanza kujadili how to bow him down !

Mkapa alisema CCM imekuwa kwenye mikono ya walanguzi kwa miaka 10 sasa ! Lazima turudie kuheshimika lazima tuzuie ujinga unaoendelea watu wameshaweka chama mfukoni

Wakasema sasa Mwenyekiti wake Jakaya ndo wa kulitatua Hilo, jibu lilitoka kwa mzee mmoja anaheshimika sana kwamba mfumo ushamuelemea Jakaya na aliulea hivo inatakiwa intervention ya nguvu ! La sivyo CHADEMA ile ya Slaa inabeba nchi!

Nilijifunza mambo mengi Ila Muhimu matano
1. CCM bila Pesa na Ulaghai hutoboi
2. Ukiwa msafi sana unaweza usidumu ikulu
3. Kumbe kuna wazee si wa kushare nao Siri wanakuuza asubuhi na mapema
4. Mkapa aliogopa sana CCM kutoka Madarakani, yaan ilikuwa kama Familia kwake
5. Uchaguzi Tanzania uwa si HURU wala haki ila Wachache wanaojifungia CHAMWINO ndo wanaamua Nani awe Rais

Sera nzito ilikuwa

CHAMA KITOKE KWA WAFANYABIASHARA KIWE KWA WANACHAMA NA WANANCHI
Hapa sasa wakaanza kupendekeza watu ambao wanaweza pitishwa
Wapo hapa kwenye Uzi niliuandika kiutani kumbe nafikisha Ujumbe

Nakumbuka nilijiunga Rasmi Hapa May 21 2015 kwa kazi maalumu,

Sasa yanayoendelea nchini nasubiria CCM kuanguka na hakuna mtu kariba ya Mkapa tena

Kwa sasa Yale yalofanywa na Lowassa naona anayafanya hata Mwigulu, bahati nzuri wote waneshika kiti cha Uwaziri mkuu

Naona kaanza kuhonga watu wamsafishe kwamba ndo mwenyewe 2030 wameanza mapema sana ! Mabilion yanatambaa huko

Britanicca
Nilipendezwa na watu wanavyotoa hoja zenye mishiko.
 
nilijiunga jf baada ya kugundua unaomilikiwa na ulianzishwa mtanzania, Maxence melo
pia naomba kuuliza, kule kenya na uganda, kuna mtandao (jukwaa) linalofanana na jamii forum?
 
nilijiunga jf baada ya kugundua ni mtandao unaomilikiwa na ulianzishwa mtanzania, Maxence melo
pia naomba kuuliza, kule kenya na uganda, kuna mtandao (jukwaa linalofanana na jamii forum?
 
Back
Top Bottom