Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

Judithkaunda

Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
90
Reaction score
231
Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani.

Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya, swali umemuandaaje?

Na hapa siongelei romance, kuna hii dhana wanaume mnayo mnatoka sehemu zenu za kazi mnadai mmechoka hamtaki stori, mwanamke hata akikuongelesha vizuri unakuwa mkali, au unamuongelesha vibaya, umemdhalau, kumsimanga, unamkaripia, kosa dogo utafoka hata mbele ya watoto.

Ngoja nikusanue mwanaume kama umefanya hata mawili kati ya haya nakusibitishia huyo mwanamke hata kama alikuwa amejipanga kukufurahisha hisia huwa zinapotea na hamu inakata kabisa, ndiyo maana anakataa. Na kama akikupa basi amefanya kukuridhisha wewe au kupunguza shauku yake lakini siyo kafurahia.

Hisia za mwanamke ni dhaifu sana, unaweza kudhani anakufanyia kusudi au anaringa, kumbe mwenzio ukiumiza moyo wake umempotezea hisia kabisa. Lakini nyie wanaume hata mkeshe mnatupiana maneno bado mtahitaji kupiga shoo, haijalishi mwanamke kakukera kiasi gani.

Ushauri wangu kwenu wanaume, ukifika nyumbani kwako hata ukiona makosa yamefanyika nyamaza kwanza kama ni mengi orodhesha pembeni, na ni busara kama mambo yenu mtaongelea chumbani na siyo umfokee mbele ya familia.

Muache akufurahishe kwanza akishamaliza kukuonyesha ufundi wake unaweza kuongea vyote unavyotaka.
 
Ukishaingiza bichwa lako kwenye draya za salon basi ubongo wako hauwezi kusalimika.
IMG-20221011-WA0019.jpg
 
Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na sio starehe ya kufurahishana.
Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikilia tu mihemko yako bila kujali unaemtumia anahali gani.

Mwanamke ni mtu anaefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya swali u
Judithkaunda umeamkia ngono?
 
umeona eh? bado asubuhi ana kuwaza hayo jamani Judithkaunda
kunauwekezano... oops! uwezekano huyu manz weza akawa ameingia choo sio yake ndo vile akiamka hujitoa kwa style hii huenda hiizi ndio fujo apata kwa shori wake ambae alitegemea angefaidi mautamu lkn kakuta sivo alivotaraji na eshachamganyikiwa yanamtoka tu. hajui kuwa bwana ukimzingua anayonafasi kubwa ya kujipoza pande ile
 
Mwanamke akijua yupo peke yake kwenye usukani, basi atakushusha popote (mchezo hupewi) na anaweza hata tafuta kiserengeti au kibopa.
Mwekee wanawake /mwenzake au usimuoneshe mali zako, lazima atazidisha kukupa penzi lote.
Fuatilia Delillah wa Samson hakua mchoyo alimloga jamaa.
judithkaunda hapo haujanipata
 
hii pia imetokea kwa yulee dogo Mkandamiziwaji... mcharuko wake ulipoona Mch. mume hayuko sawa akaamua asijichoshe wacha apoze kwa Marhum Katibu wake R I P na mambo ikawa ilivokuwa
 
Mwanamke akijua yupo peke yake kwenye usukani, basi atakushusha popote (mchezo hupewi) na anaweza hata tafuta kiserengeti au kibopa.
Mwekee wanawake /mwenzake au usimuoneshe mali zako, lazima atazidisha kukupa penzi lote.
Fuatilia Delillah wa Samson hakua mchoyo alimloga jamaa.
judithkaunda hapo haujanipata
Kuwa pekeake sio sababu pekee, nimeongelea masimango km unabisha fanya jaribio.
Mtukane mpenzi wako na uhakikishe umemkwaza alaf muombe ajibu utapata, ata akikupa ndugu imepoa sn hata umtomase vipi
 
Mwanamke akijua yupo peke yake kwenye usukani, basi atakushusha popote (mchezo hupewi) na anaweza hata tafuta kiserengeti au kibopa.
Mwekee wanawake /mwenzake au usimuoneshe mali zako, lazima atazidisha kukupa penzi lote.
Fuatilia Delillah wa Samson hakua mchoyo alimloga jamaa.
judithkaunda hapo haujanipata
Kuwa pekeake sio sababu pekee, nimeongelea masimango km unabisha fanya jaribio.
Mtukane mpenzi wako na uhakikishe umemkwaza alaf muombe ajibu utapata, ata akikupa ndugu imepoa sn hata umtomase
kunauwekezano... oops! uwezekano huyu manz weza akawa ameingia choo sio yake ndo vile akiamka hujitoa kwa style hii huenda hiizi ndio fujo apata kwa shori wake ambae alitegemea angefaidi mautamu lkn kakuta sivo alivotaraji na eshachamganyikiwa yanamtoka tu. hajui kuwa bwana ukimzingua anayonafasi kubwa ya kujipoza pande ile
Chungu lakn meza hivyo hivyo, comment yako sio lazima kikubwa ujumbe umepata.
 
Back
Top Bottom