Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
 
Yaani umeachana na mpenzi wako miezi 12, miaka 2 au 5 then ukikutana naye unataka muendelee mlipoishia serious?

Kwa Dunia hii yenye watu wanakula samaki kwa geuza?

Labda kama mna hamu ya kuingizwa kwenye grid ya Taifa.

Kama ulisha move-on kwanini usitulie na huyo uliyenaye?
 
Kuachana siyo uadui, na hata ukifuta namba haimaanishi umefuta kumbukumbu ya sehemu ya maisha yako kuwa uliwahi kuwa nae. Atakufaa mbeleni kwa namna moja ama nyingine. Hakuna uadui wa kudumu. Sisi ni pipo tutakutana.
 
Hawawezi kukuelewa we mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…