Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Hawawezi kukuelewa we mzee
Hawajui maisha yalivyobadirika, enzi zetu tunaenda vitani Uganda mwaka 1978 unarudi Vitani baada ya miaka 2 unamkuta mkeo yupo kama ulivyomuacha.

Siku hizi unaenda kazini asubuhi kurudi jioni unakuta Vijana wa hovyo wameshapiga chatta.

Ndiyo sembuse mmeachana miaka 3, si utajikuta amekuunga kwenye Grid ya Taifa uanze kumeza dawa 🤪
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Kuna ukweli hapa . 🥴

siku izi watu walioachana wakikutana wanakua kama hawajawah kuachana ,

"Naamini : Kila mtu ana yule ex ambae akikutana nae inakua kama amekutana na rafiki yake Bora wa zamani .
 
Back
Top Bottom