Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani babu tatizo inakua nini?
Tatizo itakuwa hamridhishwi kunako faragha zenu.

Mnakuwa mmekutana kwaajili ya kuchangamsha mwili lakini baada ya round moja kila mtu anakuwa busy mtandaoni mara Facebook, Tiktok, Instagram n.k badala ya ku-concentrate na kutafuta round nyingine 3 zilizobaki

Kama hamfikishani lazima mtakuwa mnachepuka, mumeo akienda kazini tu nawe unaenda kwa jamaa ako mwingine akakushughulikie 🙌
 
Nakubali.
Ulimwacha mpenzi wako eti sio mzuri kumbe ulikuwa humuhudumii.

Baada ya miaka 3 unamkuta kapendeza plus Chura ya kunesa nesa, unamfata kumbe ndiyo anakuunga kwenye umeme Mkubwa 🤪

Tujitahidi kuwa na moyo wa kutorudi nyuma, ndiyo maana Mke wa Ruthu alipogeuka nyuma enzi ya Sodoma na Gomora alibadirika kuwa jiwe la Chumvi.
 
Sijawahi futa namba ya x maana huwa siachani na mtu kwa ubaya
Kuna kesho...shida Ina tabia ya kuturudisha kwa watu tuliokorofishana nao

Ma ex zangu huwa tunawasiliana na kusaidiana kwa nyakati tofauti....japo hakuna mapenzi tena baina yetu
 
tatizo mnapenda kuloweka kavu kavu
Hiyo ni case yenu Vijana

Sisi Wazee tulifaidi wakati wetu bila kutumia mifuko yenu hii, imagine unakutana na kale ka- harufu original ya "Kuku wa Kienyeji"

Nyie mkijaribu dry tu lazima Sindao za UTI, Kaswende zikuhusu kama una bahati, kama huna bahati unaondoka na Umeme mkubwa wa Kidatu 🤪🏃🏃🙏
 
Back
Top Bottom