Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Wanaume ni wepesi sana kutekwa na mwanamke . Mwanamke ndiye anaweza kuamua kukataa kula makombo (kutafuanana na ex), lkn siyo mwanaume
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Huu pia ni mlango wa umasikini.
 
Kwann ubaki na namba ya mtu asiyekutafuta kweny simu wapendwa? let by gones be gones Ila akijirud mpokee kwa kukutafuta hewani jitose mpashe kiporo then let her go
 
Nawe ukaamini Mjukuu

Babu yako sina jambo kabisa yaani, ukiweza njoo uangalie ila usije kunibandika hadi kwenye magazeti Babu amelala Doro

Ndiwooooo!! Tena ukamtoa matenga etiii!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu we kiboko!!![emoji119][emoji119][emoji119]
Nasikia ulimuahidi ungempa pesa ndefu, afu pah!! Kakutana na kitu kizito [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…